Serikali imlipe Tundu Lissu gharama zake za matibabu

Aende mahakamani ili spare haki yake,pia kuna wanasheria wehu tu
Na mwanya na ushahidi wa kwenda nao Mahakamani ndio huo ameshaupata..

Wameichelewesha tu haki yake, lakini mwisho wa siku karma itawalazimisha kutenda haki huku wakiwa wamenuna....
 
Serikali hii ipo tayari kuwalipa wasanii na kwenda nao kuzurura Korea ya Kusini, lakini si kumlipa Tundu Lissu stahiki zake Kwa mujibu wa sheria!😳
Siyo hivyo tu inashindwa kujenga matundu ya choo , kuweka madawati kwenye shule zenye Hali mbaya, lakini ni Hela ya Kupeleka manungayembe Korea IPO .

Kwanza hivi wale wazee Afrika Mashariki walishalipwa haki zao au wote ni marehemu and the game is over.

Na huu utaratibu wa kuzungusha malipo Hata kwenye tender/project walizotangaza wao wenyewe ni shida. Mfano yule mfanyabiasha wa Arusha aliyekuwa analia Kupelekea kufirisika.
 
Yaani alipwe mara mbili? Wananchi tumchangie na serikali impe tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…