Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Kama issue ni hivyo si wanaweza kukutengenezea hati wakabackdate documents zote ili uonekane ni wa kwanza?sheria ya ardhi iko wazi. mwenye hati ya kwanza halali ndie mmiliki.
maafisa ardhi wahuni huwa wanatoa hati halali hata kwa watu kumi tofauti.
hapo yule wa kwanza ndie anakuwa mmiliki
Kama issue ni hivyo si wanaweza kukutengenezea hati wakabackdate documents zote ili uonekane ni wa kwanza?
Wengi wanaopiga makelele ni madalali wa hao wa matapeli waliokubuhu wanaotesa watu kwa kupora maeneo yao.Anajitahidi kutenda kwa haki.
Vibaya kumuonea mtu lakini tabia ya kuvamia maeneo ya watu na janja janja kisha kujenga Halafu utake huruma wakati umedhurumu haki ya mtu mwingine haikubaliki.
Pumbavu!Kama mahakama ilishatoa uamuzi, huyo mama hatakamyaga hilo eneo, subiri mawakili waingie kazini
Una job description ya waziri wa ardhi?Yaani yeye ni mtuhumiwa wa kutoa hati zote mbili, yeye mwenyewe anaendesha mashtaka, yeye anatoa hukumu, na anaenda na greda kutekeleza hukumu!
Vibali vyote vinaweza kuwa fake na u-fake wake unaweza kusababishwa na huyo anayejenga kwa kutoa rushwa!Mtu anapojenga anakua tayari ana building permit ili BT lazima uwe na hati, Sasa mpaka watu wa Halmashauri wanatoa kibali Cha ujenzi ni kosa la nani
Uwekezaji wa wizi na dhulma! Shithole!Halafu hizi taratibu za kuvunja, si ustaarabu na ni kinyume cha ubinadamu. Pakiwa na mgogoro, thamani ya uwekezaji/uendelezaji haionekani bali pande la ardhi tu! Na kitendo cha Waziri kusimamia zoezi, kimeshusha kiwango chake cha uwajibikaji..!!!
Hujawahi kuvamiwa wewe na usiombe. Matapeli yanavamia ardhi halafu yanaweka hapo uwekezaji mkubwa sana Ili tu mwenye uhalali wa kiwanja asiweze kurudi kabisa... Kuna kesi Moja huko kariakoo judge alimkomesha S.H.Amon aliamuru ardhi na kilichopo juu yake ni Mali ya mwenye ardhi halali... Sijui waliishia wapi lakini S.H.Amon alipoteza jengoHalafu hizi taratibu za kuvunja, si ustaarabu na ni kinyume cha ubinadamu. Pakiwa na mgogoro, thamani ya uwekezaji/uendelezaji haionekani bali pande la ardhi tu! Na kitendo cha Waziri kusimamia zoezi, kimeshusha kiwango chake cha uwajibikaji..!!!
Kibaka akiiba mnamvisha taili anamwagiwa mafuta mnamuua. Je vipi mtu kama Mahururu ambaye ameumiza familia mbili ( mwenye kiwanja halisi na mwenye ghorofa)? Mahururu anapaswa kushughulikiwa. Tunaomba serikali ishughulikie Mahururu yeye ni sehemu ya mizizi ya tatizo.Nimemuonesha hapo KESI TATU zinazomhusu huyo kiumbe anayemtetea na zote ni za ardhi, na hizo ni zile zilizo kwenye public domain tu. Sasa by total sijui atakuwa na kesi ngapi.
Sio amesoma Sheria tu, ni Wakili kamili.Nami imenishangaza kidogo,hasa nikikumbuka kwamba anasema amesoma SHERIA
Mbaya zaidi wanavunja nyumba ilihali ndani kuna watu..dah
Kama sikosei, hii kesi huyo aliyevunjiwa alishinda kesi na eneo lipo kilonga wima Mbezi Beach.Tuache ushaabiki maandazi, mimi siyo muumini wa kuonewa au kuona mtu anamuonea mwenzie. Huyu Slaa sidhani km ni kichaa hadi asimamie zoezi Hilo bila kibali cha mahakama. Tangu wanaanza kubomoa ni nani alimskia yule mama akisema alishinda kesi mahakamani.
Tunaambiwa kesi imedumu mahakani kwa miaka 20, unadhani ni kitu gani kilichelewesha hukumu hadi ije iwe leo. Watu wenye vijisent wawe na tabia ya kuheshimu watu masikini kwani "haki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu". Zoezi liliosimamiwa na askari police tena wengine wa vyeo vya juuu mtu anakuja kusema ni mambo ya family friends eti kwamba huyo mama kaonewa. Guys "kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake", vipi huyo mama mjane aliekuwa amedhulumiwa kiwanja ndo angekuwa MAMA yako huku mkiishi upangajini kwa tabu.
Mimi ninaamini kilichofanyika ni matokeo ya maamuzi ya mahakama na siyo blaa blaa za mleta mada, km kaonewa bado nafasi anayo ya kwenda mahakamani.
Said: BANDOKITITA
Mmmh ndugu yangu hakuna haki mahakamani si ya chin si ya juu ya kulia wala kushoto.... inshu hizi za ardhi mabaraza ya kata yapewe nguvu yanaujua ukweli sana mana physical wanajua location na wanaifikia kabisa mahakama inapelekewa stor tuKitu cha msingi hapa kama wizara inaona hivyo, ni kufuta hati iliyotolewa kimakosa kama ipo na kama hakuna ni kumsaidia miliki hali Kwa kumpa hati miliki ya sehemu hiyo na kwenda kwenye mahakama ya juu kuonyesha yeye ndio miliki halali, na sio kuchukua maamuzi yanayopingana na hukumu ya mahakama hata kama sio ya Haki.
Mimi nlimkubali Lukuvi zaidi pamoja na mau-ccm yake. Hakua na mambo ya kitoto hiviYaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana