Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Kazaliwa 2003.
Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...
O- level : Private
Advance : Private.
Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)
Hajawa allocated.
Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.
Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.
Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.
Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.
Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa
Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.
Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.
Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .
Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.