Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

Kazaliwa 2003.

Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...


O- level : Private

Advance : Private.


Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)

Hajawa allocated.

Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.


Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.

Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.

Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.

Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa


Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.

Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.

Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .

Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.
ada ya chuo na boom ni ndogo kweli ,mzazi atimize wajibu wake
 
Sijaona kosa la serikali/heslb na nawapongeza kwa kumnyima mkopo huyo binti
 
Sujui nani kawadanganya wazazi wa siki hizi kwamba ukisoma shule za serikali hufanikiwi.

Wakurugenzi wote wa mshirika, mawaziri na wabunge wamesonea shule hizi hizi.

Hizi nyingine ni Anasa tu kama unataka Mwanao Aweze ku Enjoy pesa za Wazazi kwa kusoma mazingira mazuri.

Lakini kama kipato chako cha kuunga unga wekeza kwenye uwekezaji utamsaidia mtoto baadae
Unamaanisha shule hizi? Au kuna shule nyingine za serikali unazo zungumzia?
Screenshot_20250117-182519~2.png
Screenshot_20250119-232443.png
 
Chuo Ada Mil 1.5 maximum hafu miaka 3 wakati uko Chekechea ada hadi Mil 4 kwa mwaka, primary 7 years secondary 4 years + 2 years za Advance.

Wazazi waache janja janja wamsomeshe mtoto wao.
Ada za chuo na EM hazitofautiani sana,
Udom course yenye ada kubwa ni 1.8M kwa mwaka, same to udsm na Muhimbili, ada ni ndogo tu
 
Mimi nilikosa mkopo na ni kayumba. Nikaja kupata mwaka wa pili baada ya kumtumia mtu ambaye sasa ni Waziri serikalini.

Akiyekwambia kusoma kayumba ni guarantee ya kupata mkopo kakudanganya.
1.Hukupata division One au two kama ulisoma sayansi.

2.Hukusoma Chuo cha serikali kama Udsm au Udom acha kudanganya watu sisi wote tumesoma Chuo
 
Back
Top Bottom