rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Serikali itoe haki SAWA Kwa wote. Tena hii sijui asilimia ndio upuuzi ambao hautakiwi.
Huu ni mkopo na utalipwa. Au kama vipi wakati watoto wanaomba mikopo kuwe na kipengele cha kujaza mwanafunzi mwenyewe anataka asilimia ngapi.
Watu wanadhani private ni ghali sana. Mfano 1,800,000# kwa mwaka ni kama 6000# TU Kila siku. Kwahiyo hata boda boda akiwa serious akiacha visungura, anasomesha mtoto private. So, serikali iache ushamba. Private sio Gali kiivyo, kwanza wanasaidiwa. Hizi private zisingekuwepo serikali isingeweza peke yake.