Kipindi mimi nasoma nilikosa mkopo mzee wangu na nimesoma kayumbaHakuna kayumba anae kosa mkopo Chuo Nakataa kwa asilimia zote
Ulikuwa unasoma kozi gani Chuo gani?Kipindi mimi nasoma nilikosa mkopo mzee wangu na nimesoma kayumba
Pia alivyoingia mama ndo Mambo yote yamevurugika fanya tafiti Mimi sishabikii private wala medium nazungumza reality
Saa hz wanachuo hata wa kayumba hawana tumaini la mkopo kama sisi kipindi Cha miaka mitano nyuma...
IFM bach banking and FinanceUlikuwa unasoma kozi gani Chuo gani?
mkuu,hawa wa EM umewakomalia kweli,wakigeuka unao wakilala unao,wakitaka kufurukuta unao. mmmh unatisha mkuu.Huyo mzazi pamoja na wazazi wote vilaza kama huyo ni WA kutiwa viboko tu pumbavu kwanini unamtesa mtoto wako namna hiyo.
WA Kayumba WaPo wanasoma Chuo yeye binti Yake anakosa masomo
Basi ndio maana. Uliponzwa na Aina ya kozi na Chuo ulichosoma.IFM bach banking and Finance
Unaota wewe!Hakuna kayumba anae kosa mkopo Chuo Nakataa kwa asilimia zote
Hizi siku mbili tatu mbona mada zae Em na kayumba zimesimamia ukucha?
Mimi nilikosa mkopo na ni kayumba. Nikaja kupata mwaka wa pili baada ya kumtumia mtu ambaye sasa ni Waziri serikalini.Hakuna kayumba anae kosa mkopo Chuo Nakataa kwa asilimia zote
Una pepo la umaskiniPepo la umasikini unalo wewe. Linakutia umasikini in the name of kulipa ada shule English Mediums
Lakini mzee wanguBasi ndio maana. Uliponzwa na Aina ya kozi na Chuo ulichosoma.
Ungekuwa unasoma Chuo cha serikali usingekosa mkopo.
Kayumba huwezi soma Udsm au Udom halafu ukakosa mkopo
Mzazi kashindwa kujibana bana kama alivyojibana hapo awali?Kazaliwa 2003.
Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...
O- level : Private
Advance : Private.
Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)
Hajawa allocated.
Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.
Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.
Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.
Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.
Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa
Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.
Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.
Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .
Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.
Mleta mada ana pepo la umaskini mada zake huwa za kutunga hewani akiongozwa na hilo pepo la umaskini kuandika vitu vya kutunga vya kuusifia umasikini kuwa kusomesha shule za kimaskini za kayumba ndio kitu sahihi akiongozwa na hilo pepo lake la umaskini Alianza kama mzaha sasa limemdaka na kuhamia kabisa kwake na kuweka makao ya kudumu rohoni mwilini na kwenye nafsi yakeMzazi kashindwa kujibana bana kama alivyojibana hapo awali?
😆We huna hela tu ya kupeleka mtoto EMs.. acha visingizio..Kazaliwa 2003.
Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...
O- level : Private
Advance : Private.
Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)
Hajawa allocated.
Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo ambayo ni ndogo Kuliko ile aliyo kuwa analipa kwenye shule za private.
Kumbe mzazi wake alikuwa ana bana Bana tu hana hata hela masikini ni kapuku.
Binti Sasa hivi yupo mwaka wa pili. Mwaka wa kwanza Kuna mitihani kaifanya kama special kwa sababu hiyo hiyo ya changamoto ya ada.
Mwaka huu Kuna mtihani pia hajafanya na yupo chupu chupu kusimamishwa Chuo.
Ada yenyewe anayo takiwa kulipa semester hii ni shilingi laki 4 tu mzazi kakosa kapata laki 2 wameikataa
Ombi langu Kwa serikali mruhusuni binti huyu afanye mitihani Yake.
Wapeni bumu watoto waliosoma shule za EMs na private Kwa sababu wazazi wao wengi hawajielewi wanajibana bana tu kulipa shule za EMs lakini ni masikini WA kutupwa.
Na ninyi wazazi msio na uwezo acheni kuharibu future za watoto wenu Kwa kijitutumua kulipa Ems wakati hamna uwezo .
Wakifika Chuo wanasumbuliwa na kwenye wana sumbuliwa pia.
Pumbavu wewe. Mnaweza kuchanga harusi watu wakatiane kihalali ila kuchanga mtoto akasome hamuwezi.Mama Samia sijawahi kukusikia ukirusha matusi namna hii. Imekuwaje leo? Naomba tumsaidie tu huyo binti aendelee na masomo. Ikiwa uliweza kuwapatia Simba na Yanga sh. Mil. 5 kwa kila goli walilofunga kwenye mashindano ya kimataifa, bila shaka unaweza pia kumsaidia huyu binti.
Huenda wakati baba yake anamsomesha huko nyuma uwezo wake wa kiuchumi ulikuwa vizuri na sasa uchumi umeyumba. Maisha ni safari. Safari haiwezi kuwa barabara iliyonyooka siku zote. Kuna kupanda na kuna kushuka.
Wewe pia ni mpumbavu. Mwandishi wa uzi kasema mzazi kafariki?Kama aliyekuwa anamsomesha amefariki au kupoteza kazi?..bado anastahili kuitwa mpumbavu?...