Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

ada ya chuo na boom ni ndogo kweli ,mzazi atimize wajibu wake
 
Pumbavu wewe. Mnaweza kuchanga harusi watu wakatiane kihalali ila kuchanga mtoto akasome hamuwezi.
Usijifanye mwamba hapa mpuuzi mmoja wewe! Unatumia jina mama Samia halafu huna akili. Ubongo wako umejaa tope tu. Idiot!
 
Sijaona kosa la serikali/heslb na nawapongeza kwa kumnyima mkopo huyo binti
 
Unamaanisha shule hizi? Au kuna shule nyingine za serikali unazo zungumzia?
 
Chuo Ada Mil 1.5 maximum hafu miaka 3 wakati uko Chekechea ada hadi Mil 4 kwa mwaka, primary 7 years secondary 4 years + 2 years za Advance.

Wazazi waache janja janja wamsomeshe mtoto wao.
Ada za chuo na EM hazitofautiani sana,
Udom course yenye ada kubwa ni 1.8M kwa mwaka, same to udsm na Muhimbili, ada ni ndogo tu
 
Mimi nilikosa mkopo na ni kayumba. Nikaja kupata mwaka wa pili baada ya kumtumia mtu ambaye sasa ni Waziri serikalini.

Akiyekwambia kusoma kayumba ni guarantee ya kupata mkopo kakudanganya.
1.Hukupata division One au two kama ulisoma sayansi.

2.Hukusoma Chuo cha serikali kama Udsm au Udom acha kudanganya watu sisi wote tumesoma Chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…