Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Baada ya Gree Card kuguswa akili zineanza kuwarudia.
Qmamaaaaae

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Tatizo ni figa lake analotegemea akilitoa mboga umemwagika
 
Chifu Pascal Mayala alisema anajua sababu kwanini Makonda hatambuliwi japo alisema hawezi ziweka hadharani
 

Angalau umeanza kutumia akili yako sasa.
 
unawezaje kumuondoa mtu anayekuondolea usio wataka na huku akikukusanyia waganga nchi nzima ?
 
Mimi huwa nashangaa karibia kila mtu wa Jamii Forums anataka Raisi Magufuli aongoze nchi jinsi anavyotaka yeye mwana Jamii forums, tena wanakwenda mbali kulalamika kwamba Raisi hashauriki kisa tu hajachukuwa ushauri wao, labda hata hajui na hajasikia kama ulimshauri, isitoshe hilo haliwezekani siyo practical hata kama Raisi Magufuli angeamua kufanya kila mmoja wenu anavyotaka, siyo realistic, hata muda tu hautoshi, kama hamuwapendi wateule wake so be it, next time just vote otherwise, man!
 
weka pembeni swala la Makonda,pia tuna viongozi wa upinzani ambao wanatanguliza mbele maslahi yao binafsi kuliko ya kitaifa.

Mtu yuko tayari kusifiwa kwa muda flani lakini akaleta madhara kwa Taifa lake.

Hii tabia ya kwenda kushitaki nje huko ni ulimbukeni ambao kwa Taifa lolote lile haukubaliki.

Nadhani hata hao nao tunaowapelekea mashtaka wanatushangaa namna tunavyokosa busara.

Hii tabia haifai.
 
Hao wawili wanatunziana siri zao, mmoja anatoa order mwingine anaenda kutekeleza, siku mkimkamata mtekelezaji lazima mtamuuliza nani aliekutuma!, hilo balaa ndio wanalificha lisije kutokea, hivyo anaona bora kuendelea kumkumbatia D.A.B.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…