upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema nenoNitauja kukuambia sababu ya kumkumbatia malaika wake wa adhabu
itakuwa poa sanaDawa Ni kuwatuma wasiojulikana wakamteke Pompeo, mchezo kwisha
Baada ya Gree Card kuguswa akili zineanza kuwarudia.Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Nisingekuwa nimesajili simu yangu kwa Alana za Vidole, ningetoa comments hapa stii neno hasira za Bashite zisije ishia kwangu.
Chifu Pascal Mayala alisema anajua sababu kwanini Makonda hatambuliwi japo alisema hawezi ziweka hadharaniSiyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Acha uoga weweNisingekuwa nimesajili simu yangu kwa Alana za Vidole, ningetoa comments hapa stii neno hasira za Bashite zisije ishia kwangu.
unawezaje kumuondoa mtu anayekuondolea usio wataka na huku akikukusanyia waganga nchi nzima ?Siyo kwamba najigamba au kujidai. Ni ukweli tu. Ukweli kwamba, katika watu waliom-‘define’ huyu ‘Gavana’ wa Dar es Salaam humu jukwaani, basi mimi ni mmoja wa watu walio juu katika orodha ya watu hao.
Hizi siku mbili tatu nimejiuliza maswali mengi sana.
Mojawapo ni hili: hivi huyu Rais wetu anakwama wapi?
Manake haiingii akilini kabisa. Kuna watu wengi tu ambao kawatumbua ‘unceremoniously’ kwa makosa madogo kabisa yasiyo stahili hata kuwa sababu ya mtu kutumbuliwa.
Lakini ikija kwa huyu ‘Gavana’, licha ya makosa yake yote, Rais mpaka leo hajamtumbua.
Mpaka Wamarekani nao wameona. Si ajabu wameona siku nyingi tu lakini wakawa wanavuta muda kuona kama Rais atatumia madaraka yake na kutenda [kumtumbua], lakini wapi.
Wamesubiri mwishowe na wao wamechoka. Sasa wameamua kutenda kwa kadri wawezavyo.
Huyu Rais wetu huyu...kama somo halielewi, ina maana na picha nayo haioni?
Anakwama wapi huyu Rais wetu?
Haya, pale wizara ya mambo ya nje kamtoa waziri ambaye ni mwanadiplomasia mbobezi halafu kamweka Kabudi!
Huyu Kabudi ataweza kweli ku ‘navigate the murky waters of diplomacy’?
Ona alivyoenda Kenya kwenye ule uzinduzi wa ripoti yao ya BBI!!
Kaenda katoa mahubiri utadhani huko alikotoka ni peponi.
Kilichotokea kwa ‘gavana’ sidhani kama kimewahi kutokea [unprecedented].
Ila sasa kimetokea. Chini ya utawala wa Magufuli.
Magufuli anakwama wapi? Hana hekima? Busara?
Nafuatilia kwanza huu mkasa wa watu kuuana kwenye kukanyaga mafuta