Haaaaa. Hata mimi nimemshangaa huyo msukuleHakuna kitu kama hicho, hata nafasi yako inakusuta kwa unafiki! Toka lini ukawa mpinzani wa hii awamu? Au unataka watu waanze kuongea muwakamate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Koma kumtukania mama yake, mpuuzi weweMjinga Mama yako...
Kama huwa wanadeal na mtu specific iweje wazuie raia wasio na hatia kucheza bahati nasibu ya green card lottery!? Hawa raia wana kosa gani?.USA huwa wanadeal na mtu specific ndiyo maana ameguswa yeye
Jibuni hoja ya wamarekani .kwani wewe wangekupa URC. Wa DSM.vyombo vyote vya ulinzi vyako ungeshindwa dhibiti madawa ya kulevya? Jibuni hoja kimkakati!!Atumbuliwe kwa kosa gani wewe wakati mtu anafanya kazi nzuri. Hebu nieleze biashara ya madawa ya kulevya iko kama zamani? Vijana wamenusurika wangapi. Wauzaji awamejaa korokoroni ndio hao wanalilia kichwa cha makonda. Kuna hospitali kule chanika imejengwa kwa juhudi za makonda..kuna mambo mengi ukurada hautoshi. Mwacheni makonda afanye kazi.
Exactly. NailedKwa sababu Magufuli ndiye aliyekuwa akimtuma.
Mbona huandiki na wangapi wamepoteza maisha kwa sababu yake? Usijitie macho kumchuzi kuona upande mmoja tu.Atumbuliwe kwa kosa gani wewe wakati mtu anafanya kazi nzuri. Hebu nieleze biashara ya madawa ya kulevya iko kama zamani? Vijana wamenusurika wangapi. Wauzaji awamejaa korokoroni ndio hao wanalilia kichwa cha makonda. Kuna hospitali kule chanika imejengwa kwa juhudi za makonda..kuna mambo mengi ukurada hautoshi. Mwacheni makonda afanye kazi.
Wamekupangia? Nyie endeleeni na mkuu wenu wa mkoa lakini America haingiiUna chuki binafsi na Makonda tu, tangu lini wamerekani wakatupangia wakuu wa mikoa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nigeria na Elitrea wamezuiliwa nchini nzima wao wafamyeje?Yaani mnataka kutuaminisha kuwa Makonda ni One man army?? Hao wenzake ni kina nani?? Tulieni tu jamani mambo haya yatakwisha ni upepo wa kisulisuli tu utapita
Magu ni mkali kwako tu.Utaanzaje anzaje kumkumbatia Magu hivyo!
Uhitaji kuwa mtalii ili ujue siri za nchi social media ni good source ya information yeyeto ya nchi yeyeto uitakayo.Sasa mtalii ajui lugha,pia Simu zote kumbuka zinarekodiwa jiulize kwanin Osama alikuwa atumii Simu.Kama wanawezayanasa mawasiliano ya siri ya magaidi sembuse ya washamba.Baada ya tangazo la Serikali ya Marekani kumzuia Makonda na familia yake kupata visa ya Marekani Kuna uwezekana mkubwa huo ndiyo ukawa mwisho wa Makonda kisiasa.
Tangazo hilo halijatoa Picha nzuri kwa uongozi wa awamu ya tano na ili kurudisha heshima na mahusiano hayo tena ni Makonda kuondolewa katika nafasi ya Mkuu wa mkoa haraka Sana.
Wamerakani watakawa wametuma makachero wao ndani ya nchi Kama majasusi bila tz kujua na uwezekano wamekuja Kama watalii na kukusanya habari nyingi Sana za ndani ya mifumo ya Serikali.
Ni wakati umefika RC aondoke haraka katika nafasi hiyo.
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kwa tangazo hilo.
Tatizo ni pale unapouliza Magufuli anakwama wapi kwa huyu Makonda, wakati Magufuli hajawahi kuwa na consistent and coherent agenda popote.
Hapa atakwambia anapiga vita rushwa, kule kauza nyumba za serikali nje ya utaratibu mpaka kwa hawara zake. Pia anasema trafiki kupewa rushwa ni "hela ya kupiga viatu brashi tu".
Hapa atakwambia yeye ni rais wa wanyonge, na maendeleo hayana vyama, pale atakwambia atapiga wapinzani mpaka shangazi zao.
Hapa atamfukuza kazi Kangi Lugola kwa kupiga dili ambalo halijapitia bungeni, kule atanunua ndege bila idhini ya bunge, tender ya wazi wala kuruhusu ukaguzi wa CAG ATCL.
Hapa atasema anawakilisha maslahi ya wakulima wanyonge, halafu hapo hapo ataingilia manunuzi ya korosho na kuharibu soko kwa namna ambayo inaangusha mapato ya mazao ya kilimo kwa asilimia 55 katika mwaka mmoja tu unaoishia Agosti 2019, kwa mujibu wa ripoti ya Bank of Tanzania ya Oktoba 2019.
Sasa mtu kama huyu utategemea vipi ajielewe zaidi ya wholesale politics?
Na watu waliokuwa sane serikalini waliotaka kummdhibiti Makonda na kufanya "damage control" kama kina Dr. Mahiga ndiyo wanaondokewa kwenye prominence. Go figure.
Wizara ya Mambo ya Nje sasa hivi tungehitaji sana watu wenye busara na uzoefu wa kimataifa. Lakini wameondolewa, wamewekwa die hard ideologues waimba sifa. Clear mesage kwamba hatutaki watu wa busara, tunataka watu wa kujikomba kwa mkuu.
For all I know yeye Magufuli na Makonda hawajapishana sana katika kufikiri, na sasa wanaandaa vita dhidi ya "mabeberu".
Sent using Jamii Forums mobile app