Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

Mimi huwa nahisi labda Asadi anataka arudishiwe nafasi yake ili astaafu kwa heshima mana si kwa kilalamika hivyo. Au huwa anataka akumbukwe kwenye uteuzi fulani ngazi za juu.
 
Kumbe!

Ndio maana hana akili
 
Professor gani mjinga huyu. Kuingia tu ofisini akakarabati nyumba ya kuishi yeye kwa mamilioni tenda kampa jamaa yake kandarasi. Kazini kageuza chumba kimoja cha ofisi msikiti wake. Halafu kamuamini zito eti rais hawezi kumtoa kufuatana na katiba. Kashindwa kujua au kukumbuka kwamba kateuliwa kwa mkataba. Mkataba kumalizika bila kutegemea jpm akamtema. Anasononeka bure hadi leo.
 
Prof tatizo lake kubwa ni fundamentalist, yaani anachokiamini huwezi mbadilisha, hakufaa kuwa kiongozi. Naamini hata vetting ilikuwa mbaya ila nadhani Dkt Kikwete atakuwa alilazimisha
Wakisikia hili wenzio watakushukia kama mwewe. Prof anafaa kufundisha tu. Uongozi haumfai kabisa.
 
Kumbe hana akili kabisa. Ndo maana anabaki kulia lia kama bwege ...
 
umemaliza...yakiwakuta watakuja lia lia huki..kichaa anachekesha akiwa hatoki familia yenu
 
Ana uchungu wa fedha za watanzania masikini wakulima na walipa Kodi trilioni moja na nusu zilizopaa na wajuaji Wala matunda ya uhuru.
 
umeandika nn
 
We have said it once,we will say it again.
CCM ilimchagua Magufuli kuwa mgombea urais.
Prof. Assad alipokagua mahesabu akamwita Magufuli " mwizi" or words to that effect.
The rest is history.
It is important to understand kwamba Prof. Assad alimwita Magufuli " fisadi" siku chache baada ya Ile nomination.
 
Kaka huna aibu mbwa wewe unamsingizia mtu mzima, uliisikia vizuri mahojiano yake na kikeke alilia kwa ajili ya kufiwa na mkewe, mbwa wewe msema uongo kamsingizie baba yako
 
Sisi wakristo tunafundishwa kusamehe na kua usipomsamehe mtu hata wewe hutasamehewa na Mungu, angekua ni mkristo anayeisoma bible na kuielewa angeshasamehe
Siyo issue ya kuwa kama angekuwa mkiristo ndiyo asamehe.Kwanza asamehe amefanywa nini.Ile ofisi haukuwa ya baba yake Mzazi kwamba atakaa nayo milele.Kwanza mnavyosema ana akili kwa kuwa ni Profesa ,mimi naseama Assad hana akili kabisa.Profesa mzima mwenye taaluma tena ya kujiongeza binafsi maisha yakaendelea analialia mbele ya kamera eti anakumbuka alivyoondolewa ofisini.Huu ni ubwege uliopitiliza.Angelia kwa kuwa Magufuli kamnyang'anya degree zake zote hapo ningesema labda.Lakini no matter anashahada ngapi lakini hili analolionyesha sasa linamuweka katika kundi la vilaza.Analialia kama LAST BORN.Hata jina la Asaad halimfai tena. Mana ya Asaad ni Simba.Sasa huyu Simba kweli au Kondoo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…