Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
kwa taarifa ya ko.Mabasi ya BRT hayaendi tena Kibaha.Mwisho Mloganzira.Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu.
Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita naumia sana kuona ikiwa haina matumizi na ni kama imetelekezwa
Sijajua mkandarasi alifikiria nini? Au alikuwa amepiga hesabu gani, kwa sababu kwa jinsi imejengwa kwa sasa hata haiwezekani kujenga vituo vya mwendokasi kwa sababu ya ufinyu wa eneo la katikati kutosha kujenga vituo
Mwisho wa siku mabasi ya mwendokasi kutoka Kimara kwenda Kibaha yanapita barabara ya kawaida na kutumia vituo vya daladala. Huu sio utaratibu wa BRT kokote ukienda duniani.
Tatizo lilianzia wapi kwa mkandarasi au mamlaka iliyompa kazi mkandarasi?
Ni uzembe wa hali ya juu ukizingatia kodi za Watanzania zimetumika na nyumba za makazi na maeneo ya biashara yalivunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha ikiwemo na mradi wa barabara ya mwendokasi.
Wenye mamlaka watupe majibu
Kwa
kwa taarifa ya ko.Mabasi ya BRT hayaendi tena Kibaha.Mwisho Mloganzira.
Hyo barabara ya kati ni ya zamani. haijajengwaKwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu.
Ila janga ni ile barabara ya katikati ambayo ilikusudiwa iwe ya mwendokasi lakini mpaka sasa haitumiki ipo kama pambo. Huwa nikipita naumia sana kuona ikiwa haina matumizi na ni kama imetelekezwa
Sijajua mkandarasi alifikiria nini? Au alikuwa amepiga hesabu gani, kwa sababu kwa jinsi imejengwa kwa sasa hata haiwezekani kujenga vituo vya mwendokasi kwa sababu ya ufinyu wa eneo la katikati kutosha kujenga vituo
Mwisho wa siku mabasi ya mwendokasi kutoka Kimara kwenda Kibaha yanapita barabara ya kawaida na kutumia vituo vya daladala. Huu sio utaratibu wa BRT kokote ukienda duniani.
Tatizo lilianzia wapi kwa mkandarasi au mamlaka iliyompa kazi mkandarasi?
Ni uzembe wa hali ya juu ukizingatia kodi za Watanzania zimetumika na nyumba za makazi na maeneo ya biashara yalivunjwa ili kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha ikiwemo na mradi wa barabara ya mwendokasi.
Wenye mamlaka watupe majibu kuhusu barabara ya mwendokasi ya Kimara-Kibaha
Havihusiani mkuuInabidi uelewe kwamba Donald Trump kaingia haya mashirika yote yatapunguza funding kuanzia worldbank. Afdb na wengineo.
Trump kaja ku offset wapigaji wote.wa.dunia. so mibarabara hata hii ya.mwendokasi onaweza isiishe kwa kiwango hela ishapumguzwa
Hyo barabara ya kati ni ya zamani. haijajengwa
Watakujawakija wajuvi tujuzane👿
CCM ni janga!!!
Mpuuzi alisikikaHiyo ni legacy ya jiwe
Nasikia alisema hiyo barabara ya kati ibaki hivyo
Acha uongo.Inabidi uelewe kwamba Donald Trump kaingia haya mashirika yote yatapunguza funding kuanzia worldbank. Afdb na wengineo.
Trump kaja ku offset wapigaji wote.wa.dunia. so mibarabara hata hii ya.mwendokasi onaweza isiishe kwa kiwango hela ishapumguzwa
Jiwe sio?Mpuuzi alisikika
Waste of resourcesUkweli kama taifa ni hasara
Daaah! 🤣🤣🤣Hiyo ni legacy ya jiwe
Nasikia alisema hiyo barabara ya kati ibaki hivyo
Ni jambo la ajabu sana.
Ni aibu.Vituko kama hivi utavipata Tanzania tu
Ni aibu.