Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

Serikali ina mpango gani na Barabara ya Mwendokasi Kimara hadi Kibaha? ni kama imetelekezwa

Hivi kwanza hiyo barabara kutoka kimara-kibaha. Ilikuwa kwenye phase no ngapi, maana kuna phase 1 mpka sijui 5.

Inawezekana haikuwa kwenye ufadhiri wa mabeberu kama hizi nyingine.

Kama ni hivi shida itakuwa inaanzia hapa.
 
BRT kibaha nadhan haikuwa kwenye project ni vile walikurupuka tu ndio maana unaona hata route walikata
 
Mwendo kasi kimara - kibaha ni FAILED PROJECT. Ilitengenezwa kwa mihemko tu. Kama wangekuwa serious kweli hiyo barabara ungeona vituo vya mwendokasi kati kati. Ila imenyooka tu kama uzi.

Acha tuijenge zenjibari kwanza hayo mengine pambaneni nayo wenyewe.
 
BRT kibaha nadhan haikuwa kwenye project ni vile walikurupuka tu ndio maana unaona hata route walikata
Kwa hiyo ile barabara ya kati iliyopaswa iwe ya mwendokasi haitakuwa na manufaa yoyote​
 
Mi nadhani kwa kuwa hizo njia nane hadi sasa zinafanya vizuri kwa mantiki ya kwamba hakuna foleni,
wangerudisha ile route inayoishia kibaha stand ya mabasi ingetosha.Vituo watumie vinavyotumiwa na mabasi mengine.Nadhani kosa lilifanyika tangu mwanzo wakati wa kudesign.
 
Back
Top Bottom