GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Hivi kwanza hiyo barabara kutoka kimara-kibaha. Ilikuwa kwenye phase no ngapi, maana kuna phase 1 mpka sijui 5.
BRT kibaha nadhan haikuwa kwenye project ni vile walikurupuka tu ndio maana unaona hata route walikata
Kuna sehemu nguzo za mataa ya barabarani yamesimikwa katikati ya hizo barabara za mwendo kasi.Aibu mno, ile barabara itabaki vilevile miaka nenda miaka rudi plan zimeshafeli
But bado Wana option ya kujenga vituo katikati then pembeni watanue barabaraBRT kibaha nadhan haikuwa kwenye project ni vile walikurupuka tu ndio maana unaona hata route walikata