Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani.

Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa

Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya

Your browser is not able to display this video.
 
Waswahili tuna ujauaji mwingi sana sishangai kuona akipigwa
Siyo ujuaji,Wazansi wanataka raia wote wa kigeni warudi kwenye nchi zao,madai yao wageni wameivamia nchi yao na kufanya biashara kiholela holela. Wanataka kuitengeneza nchi yao na wageni wakazitengeneze nchi zao.
Wazansi wapo sahihi,kabla ya 1997 nchi yao ilikuwa ya kujivunia,baada ya kuanza kuingia wageni biashara haramu zikatamalaki,uharifu ukakua kiwango cha kutisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…