Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Acha kuleta chuki zako kwa hayati JPM. Voicer ana hoja ya msingi hapo.Nimecheka kwa nguvu nguvu, muumini wa dhalimu naona unapata tabu. Jitahidi kuvumilia ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuleta chuki zako kwa hayati JPM. Voicer ana hoja ya msingi hapo.Nimecheka kwa nguvu nguvu, muumini wa dhalimu naona unapata tabu. Jitahidi kuvumilia ukweli.
Angekuwa Mwanachadema kasema hivyo leo ANGEPEWA KESI ya UGAIDI na KUHUJUMU UCHUMI lakini ZITTO ni waMtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo.
Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na anakiri waliochoma wamemuomba radhi, kwa nini asiwapeleke polisi? Maana kuchoma moto nyumba ni jinai na haina mwisho .
Anachafua hadharani kuwa taasisi ya rais inatumia maofisa wa serikali kufanya uharifu alafu anaachwa tu. Kwa nini amchafuae kiongozi aliyetangulia mbele za haki? Alafu anaangaliwa tu?
Acha kuleta chuki zako kwa hayati JPM. Voicer ana hoja ya msingi hapo.
Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo.