Serikali inafanya makosa kutomfunga jela Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi anayofanya. Afungwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho

Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo.

Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na anakiri waliochoma wamemuomba radhi, kwa nini asiwapeleke polisi? Maana kuchoma moto nyumba ni jinai na haina mwisho .

Anachafua hadharani kuwa taasisi ya rais inatumia maofisa wa serikali kufanya uharifu alafu anaachwa tu. Kwa nini amchafuae kiongozi aliyetangulia mbele za haki? Alafu anaangaliwa tu?
Angekuwa Mwanachadema kasema hivyo leo ANGEPEWA KESI ya UGAIDI na KUHUJUMU UCHUMI lakini ZITTO ni wa
JamiiForums1424324739.jpg
 
Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo.

Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na anakiri waliochoma wamemuomba radhi, kwa nini asiwapeleke polisi? Maana kuchoma moto nyumba ni jinai na haina mwisho .

Anachafua hadharani kuwa taasisi ya rais inatumia maofisa wa serikali kufanya uharifu alafu anaachwa tu. Kwa nini amchafuae kiongozi aliyetangulia mbele za haki? Alafu anaangaliwa tu?

..Raisi anatakiwa aunde TUME YA UCHUNGUZI itakayopokea malalamiko ya wananchi wanaodai kuonewa na serikali na vyombo vya dola na kupendekeza hatua za kuchukuliwa.

Cc Tindo
 
Serikali haitakiwi kufunga watu bali mahakama

Back
Top Bottom