feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali).
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua wamebaki hawana pa kushika.
Nawasilisha.
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua wamebaki hawana pa kushika.
Nawasilisha.
