Humu tuuuuuNimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko.
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua wamebaki hawana pa kushika.
Nawasilisha.
Sahihi,Serikali inajilaumu sana kumkamata Lissu kabla ya 29 October 2025
Walidhani watakaowatuma kwenda kumuona usiku watafanikiwa. Hawakuwaza what if wasipofanikiwa.Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko.
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua wamebaki hawana pa kushika.
Nawasilisha.
Hawana plan ndefu lakini jamaa anawazidi akili watake wasitake! sasa kuna tume uchwara ipo chinichini inaweza ikawa bomu jingine japo kwa TAL atapanchi vizuri tu kwa mawakili hao na mashaidi walioshindwa kulinda migongo yaoSahihi,
Walimuweka ndani April, wakatekeleza mauaji ya halaiki October/November
ok.Nimejaribu kufuatilia hii kesi tangu ilivyoanza mpaka sasa unaona kabisa serikali inajilaumu kuwahi kumkamata Lissu kabla ya yale machafuko(maandamano halali).
Ndo maana kuna kipindi wakataka kuleta ushahidi mpya lakini Gwiji La sheria duniani Ndugu Mheshimiwa TUNDU ANTIPHAS LISSU akapangua wamebaki hawana pa kushika.
Nawasilisha.