Dah....kuwasuta Tena mkuu? 🤣🤣🤣🤣🤭Mkuu, ebu weka na picha ili tuwasute vizuri
Dah! Mkuu wengine wanahitaji madawati, na wengine wanahitaji ndege.🤣🤣🤣🤭Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65000 mkoani sumbawanga wanakaa chini ..
Ccm tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma baba wa taifa mwl JK Nyerere.
Tulishashindwaga kusimamia hadi tukaingia ubia na AS ndio wakatunyoosha zaidiHakuna nchi iliyomaliza shida za wananchi wake wote kisha ndio ikawekeza kwenye vitega uchumi,ukisema usubiri matatizo yote yaishe ndio uwekeze kwenye Ndege basi sahau kununua hizo Ndege...
Ni kama sisi kila siku tunaaminishwa kuwa mwenyekiti wetu ni tajiri, ila cha kushangaza makao makuu yetu hayana tofauti na banda la kuku.Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini ..
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma baba wa taifa mwl JK Nyerere.
Duh!!?!?!?!! We jamaa!?!???mkoani Sumbawanga
Tangu mwaka 2016 mmeanza kununua hizo ndege ebu twambie ni mwaka gani mmeanza kuingiza faida ?Hakuna nchi iliyomaliza shida za wananchi wake wote kisha ndio ikawekeza kwenye vitega uchumi,ukisema usubiri matatizo yote yaishe ndio uwekeze kwenye Ndege basi sahau kununua hizo Ndege,
Ila hizo Ndege zikisimamiwa vizuri ndizo zitakazo leta faida ya kununua hayo madawati na mahitaji mengine,
Angalizo.Mimi sio shabiki wa vyama vya Siasa,usije ukaniita tu sijui buku 7 au bavicha au vyovyote vile.
Nani kakwambia kuwa kuwa na nyumba ya kifahari ndiyo kuwa na busara?Ni kama sisi kila siku tunaaminishwa kuwa mwenyekiti wetu ni tajiri, ila cha kushangaza makao makuu yetu hayana tofauti na banda la kuku. Sasa tukipewa nchi sijui ni kipi cha maana tutachofanya kwa nchi hii.
View attachment 2168606
Atcl wanashindwa kwenda nje kuna mizigo kibao inabidi iletwe na mashirika mengine kama ethiopian nk huku ndege ikimbeba hangaya tuUtawasikia wanasisitiza kuwa tumeagiza ndege nyingine tena kwa ...kuriipa keeeshiiiiiiii.
Mbona umejibu kama vile umejikoki kubishana!Tangu mwaka 2016 mmeanza kununua hizo ndege ebu twambie ni mwaka gani mmeanza kuingiza faida ?