Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.