M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Mtu unaongea hivi halafu watoto wako wote wako English medium. Acheni kupotosha watanzania. Interview zote za kazi nchi hii ni kiingereza, halafu wewe unaongea nini hapa.Hakuna kitu kama hicho, mkuu. UN Kiswahili kinaheshimika, sasa je?
Nini kinachokosekana au kushindikana kufundishia kwa Kiswahili? Mbona hadi vyuoni maprofesa na wahadhiri wanakiswang'anya Kiingereza huku wakitumia Kiswahili kama kawaida?
Jambo la msingi, maandalizi muhimu yafanyike halafu utajionea mwenyewe. Tena Kiswahili kinaweza kuwa bora kabisa hata kuliko Inglishi.
Miaka zaidi ya 100 ya matumizi rasmi ya Kiswahili, halafu bado watu wanadai eti ni lugha changa?
Mtu unaongea hivi halafu watoto wako wote wako English medium. Acheni kupotosha watanzania. Interview zote za kazi nchi hii ni kiingereza, halafu wewe unaongea nini hapa.Hakuna kitu kama hicho, mkuu. UN Kiswahili kinaheshimika, sasa je?
Nini kinachokosekana au kushindikana kufundishia kwa Kiswahili? Mbona hadi vyuoni maprofesa na wahadhiri wanakiswang'anya Kiingereza huku wakitumia Kiswahili kama kawaida?
Jambo la msingi, maandalizi muhimu yafanyike halafu utajionea mwenyewe. Tena Kiswahili kinaweza kuwa bora kabisa hata kuliko Inglishi.
Miaka zaidi ya 100 ya matumizi rasmi ya Kiswahili, halafu bado watu wanadai eti ni lugha changa?
Utafiti ulifanyika majibu yakaonesha haiwezekani. Fanya nawewe itafiti utapata jibu haiwezekani. Watoto wanaosoma english medium sio sawa nawatoto wanaosoma shule za kawaida . Vile vile ufundishaji na maslah ya English medium sio sawa na shule za kawaidaMbona kuna shule za primary za English medium? Kisichowezekana ni nini?
Shule nyingi za Private ni mradi wa watu serikalini,Bado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je nini kinawakwamisha
1. Walimu hawana uwezo?
2. Wanalinda biashara ya shule za mabasi ya njano kukosa wateja?
3. Wanaogopa kiswahili kitapotea?
Au ni nini hasa?
Mwanafunzi anamaliza kidato cha nne hata kuomba maji kwa kingereza haj
Una teknolojia gani ya kujidai ufundishe kiswahili kitupu?Wenye teknolojia woooote huko duniani, mashule yao hufundisha kwa lugha za kwao, lugha inayotakiwa kufundishia hapa Tz ni kiswahili .
Kufundisha vizuri kiswahili nje kunahitaji kujua lugha za nje vizuri huwezi kurupuka tu Tanzania ukaenda korea kufundisha kiswahili wakati huwezi mudu kingereza vizuri au lugha yao ya kikoreaAjira za lugha ya kiswahili zinahitajika sehemu mbalimbali duniani
Leo wazungu wanajifunza kiswahili wakiwa kwao, wanakuja huku wakiwa wanafahamu angalau kidogo na zaidi
Balozi zetu zinafanya vizuri mfano ubalozi wa Tanzania Korea kusini, taasisi binafsi na vyuo kadhaa vina toa elimu ya lugha ya kiswahili huko ulaya na marekani (ujerumani, uingereza, marekani nk)
Hivyo kiswahili kina songa mbele kwa mwenye kukithamini, wapo ambao kingereza cha nini na wapo ambao wanakithamini kama unavyofanya
Uko sahihiKizuri ni kwamba mnaopenda Kiswahili endeleeni kusomesha watoto wenu kwenye shule za Kiswahili hakuna anayewakataza ila muache kulialia Wakenya na Waganda wanavyozidi kupata kazi nchini mwenu, hakuna mjinga mwenye kampuni inayofanya kazi kimataifa au anayedili na watu wa kimataifa aajiri watu ambao ni 'vihiyo' kwenye Kiingereza.
Hiyo teknolojia mnayofundisha kwa lugha za watu tokea enzi na enzi mpaka leo ina manufaa gani katika nchi??Una teknolojia gani ya kujidai ufundishe kiswahili kitupu?
Wachina,warusi,wajerumani nk wana teknolojia mswahili hana hata teknolojia ya kutengeneza kijiti tu cha mti cha kuchokonolea meno hawezi chonga halafu unaleta miyowe humu oohh wasome kiswahili kitupu kiwapeleke wapi wakati teknolojia hawana? Una roho mbaya wewe
Ndio maana tunasoma kwa lugha za nje hadi hapo tutakapokuja kuwa na teknolojia zetu ndipo tutaachaHiyo teknolojia mnayofundisha kwa lugha za watu tokea enzi na enzi mpaka leo ina manufaa gani katika nchi??
Mkitaka kutengemeza barabaran mnaita wataalamu kutoka nje.
Yaani kila kitu mnaita wataalamu kutoka nje, sasa miaka yote hiyo mnasoma utumbo?
Waamue tuu ili watoto wa maskini nao waijue lugha ya malkia bila gharama yoyoteni UHUNI tu! hakuna lingine. kwani hujui hii ni nchi yenye MATABAKA?
Taifa limefanyanini kuwafanya wenye kiswahili chao wazid kukichafua kupitia ukuahi wa technology, au waswahili ni followers tu hawawezi kuja na vitu vyao kupitia kiswahili chaoWaulize hao watunga sera kwanini watoto wao hawawapeleki shule za kiswahili ila wanalazimisha wengine wasome hicho kiswahili
Nb: Teknolojia ya sasa kingereza hakikwepeki
Sisi hatuna vyakwetu ndio maana tunakihitaji kingereza zaidiTaifa limefanyanini kuwafanya wenye kiswahili chao wazid kukichafua kupitia ukuahi wa technology, au waswahili ni followers tu hawawezi kuja na vitu vyao kupitia kiswahili chao
Vyakwetu ni vingi, ubongo wa kuvitumia na kuviendeleza ndo hatunaSisi hatuna vyakwetu ndio maana tunakihitaji kingereza zaidi
Vyakwetu vipi sasa wakati kila kitu tuna import mpaka vijiti vya kuchokolea menoVyakwetu ni vingi, ubongo wa kuvitumia na kuviendeleza ndo hatuna
Tunajikomba kwa kujua lugha zao
Akili ingekua vema kwetu, wao ndo wangejifunza kiswahili sababu ya vya kwetu.
Uganda mbona wanafanya vizuri sanaNi bora kutumia Kiswahili kuliko kingereza.
Raw materials za vijiti hazipatikani kwetu?Vyakwetu vipi sasa wakati kila kitu tuna import mpaka vijiti vya kuchokolea meno
Zipo ila ndio kama hivo tenaRaw materials za vijiti hazipatikani kwetu?
Umenena vizuri. Na itakuwa rahisi kujifunza Kiingereza kama somo la lugha na si vinginevyo.Ni bora kutumia Kiswahili kuliko kingereza.