Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

View attachment 2035455
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani mnajulikana kama fundi Maiko.

Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa one ya kupunguza gharama.

Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama Mungu uliojaa maji.

Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine.

Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko.

Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Lingeanguka siku wanakabidhiwa
 
Ni kawaida kwa nchi ambayo haiongozwi kwa sheria na taratibu badala yake inaongozwa kwa matamko tupu
 
Nadhani unapotosha dhana ya force account
Force account haimaanishi kupunguza gharama kwa kupunguza material /ubora, bali kupunguza gharama kwa kutumia uwezo uliopo ndani ya Mifumo ya serikali na kwa wananchi pia.

Kwa mfano ujenzi wa madarasa unaofanyika sasa kwa Mtindo huo, Engineer wa halmashauri ndio msimamizi badala ya kumpa kandarasi mtu binafsi.
Wananchi nao wanachangia nguvu kazi hivyo gharama inapungua na urasimu pia.
Tatizo ni kutumia local fundi ambayo hata jambo likiharibika ana potea hana address lakini kumbe kampuni utakamata mali zake au kufidiwa
 
Kwani ilo jengo ni la serikali mpaka uhusishe na force account?
Serikali imeupigia debe sana mtindo wa Fosi Akaunti.
Majengo yake mengi vijijini yako hoi bin taabani kwa sasa.
Kama ni shule zinaweza kuwaangukia wanafunzi.
 
Serikali yenyewe unasema ma engineer wanatupotezea muda, heri kujenga kwa kutumia local fundi, fundi Maiko.
Acha uongo force account haina maana hiyo. Force account maana yake unatumia ma engineer walioajiliwa na serikali badala ya kutumia makandarasi ambao wamekuwa na ukiritimba kibao na gharama kubwa. Miradi mingi local fundi ndio wanaotumika wakisimamiwa na qualified engineers kwa hiyo usiwadharau local fundi mkuu.
 
Wewe ndiyo muongo.
Walimu wanawekwa ndani kwa kutosimamia ujenzi wa madarasa.
Pengine unayosema ni huko Chato.
 
Back
Top Bottom