Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

Wewe ndiyo muongo.
Walimu wanawekwa ndani kwa kutosimamia ujenzi wa madarasa.
Pengine unayosema ni huko Chato.
Kusimamia kwenye upande upi? Ujenzi upande wa kiufundi/technical kwenye wilaya/halimashauri unasimamiwa na engineer wa wilaya/halimashauri. Labda unazungumzia usimamizi administratively na wala siyo technically!
 
Mwandiko sasa!
We jamaa huo sio mwandiko ni maandishi, insha au uandishi.

Unajifanya unajua wakati hujui.

Hakuna anae unda mwandiko kwenye simu, kumpyuta nk.

Mwandiko wa bunadamu huandikwa kwenye karatasi kwa kutimia peni au penseli.

Vile vile kuna pen za ectronic ambazo zinaweza onedha ubora wa mwandiko wa mtu.

Uwe unakosoa kwa kusema uandishi sasa.

Sio, mwandiko sasa.

Mi nakuchukulia unakosoa usichokijua. Mwehu humuona mwenzie kuwa mwehu kumbe yeye ndiye mwehu.

Katika compyuta kuna fonts style/ size ambazo mtu anaunganisha herufi kupata maandishi sio mwandiko, huna mamlaka ya mwandiko bali waliounda simu, kazi yako ni kuchagua mwandiko kutoka orodha maalumu ya mwandiko ambao ni; times new roman (ambao maarufu zaidi), aerial nk .

Sisi sote humu tunakosea uandishi mara kwa mara, hakuna alie bora.

Acha kujifanya unajua sana.
 
False account na ubora wa hilo jengo binafsi unahusiana vipi?
 
Kusimamia kwenye upande upi? Ujenzi upande wa kiufundi/technical kwenye wilaya/halimashauri unasimamiwa na engineer wa wilaya/halimashauri. Labda unazungumzia usimamizi administratively na wala siyo technically!
Pengine hujaelewa mantiki ya mada hii.

Wahandisi wapo, tena tele.

Lakini local fundi, fundi Maiko kwa serikali ndiyo habari ya mujini kwao.

Kama wewe uko ofisini nenda kijijini uone ujenzi wa zahanati na shule unavyolipuliwa.
 
Wahandisi wengi ni wezi kupita kiasi.
Pengine hujaelewa mantiki ya mada hii.
Wahandisi wapo, tena tele.
Lakini local fundi, fundi Maiko kwa serikali ndiyo habari ya mujini kwao.
Kama wewe uko ofisini nenda kijijini uone ujenzi wa Mahanadi na shule unavyolipuliwa.
 
Fundi kafanyaje Sasa hata uchani kila kukicha majengo yanatikisika mengine yakianguka
 
Ukitaka kujenga mjengo wa ghorofa kwa kweli usikurupuke bila kufanya chunguzi muhimu ili mjengo wako ukijenga uwe salama.
Cha kwanza kabisa ni kujua kama eneo unalotaka kujenga linauwezo kiasi gani wa kupokea mjengo unaotaka kuujenga.

Pia michoro unayotumia haswa ya maghorofa ni muhimu kufanyiwa ubunifu na Mhandisi aliesajiliwa mwenye uzoefu wa ubunifu wa majengo.

Na kipindi unajenga ni muhimu mjengo wako kusimamiwa na Wote Fundi mkuu (foreman) akisaidiwa na Mhandisi katika kutafsiri michoro.
 
View attachment 2035455
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maik
Usituchanganyie mafaili bwana mkubwa. Nani alikuambia ujenzi wa force account unatumia mafundi wasio na viwango?

Kwani ghorofa lililoanguka ni mradi wa serikali? tena ambao ulikuwa unatekelezwa kwa mtindo wa force account?.
Kwa mwonekano hilo jengo la mtu binafsi, aliyekiuka taratibu za ujenzi, pengine kwa kuweka mafundi uchwara.
 
Mtoto anaiga baba na swaga zake.

Kama Serikali inamtumia fundi Maiko na kuwatosa wahandisi na makandarasi, unategemea nini?
 
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.

Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Kwani ujenzi kwa kutumia force account ndiyo unakupa uhuru wa kuwa usitumie qualified local engineers?

Yasije kuwa kama ya yule mkuu wa mkoa wa Shinyanga aliyesema hataki kusikia habari ya procurement procedures.
 
Qualified local engineer ni ngumu kutumika katika ujenzi wa mtaani kwasababu Client wengi hutaka gharama ndogo ambazo haiwezekani kutumia engineer
 
Kwani ujenzi kwa kutumia force account ndiyo unakupa uhuru wa kuwa usitumie qualified local engineers?

Yasije kuwa kama ya yule mkuu wa mkoa wa Shinyanga aliyesema hataki kusikia habari ya procurement procedures.
Serikali yenyewe ina wapiga vita wahandisi na makandarasi katika harakati zake za ujenzi, eti wana gharama kubwa.
Sasa wananchi wanaiga, heko fundi Maiko.
 
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.

Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Wataalum wamepuuzwa sana nchi hii.
Hawapewi kazi watu wanajifanyia watakavyo.
Wacha zidondoke tu.
 
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.

Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Mainjinia wameamua kujiajiri shambNi kwani mwajiri mkubwa wa ujenzi alikuwa serikali...na huyu mwajiri alimchagua fundi maiko

Acha zidondoke
 
Back
Top Bottom