Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

Lingeanguka siku wanakabidhiwa
 
Ni kawaida kwa nchi ambayo haiongozwi kwa sheria na taratibu badala yake inaongozwa kwa matamko tupu
 
Tatizo ni kutumia local fundi ambayo hata jambo likiharibika ana potea hana address lakini kumbe kampuni utakamata mali zake au kufidiwa
 
Kwani ilo jengo ni la serikali mpaka uhusishe na force account?
Serikali imeupigia debe sana mtindo wa Fosi Akaunti.
Majengo yake mengi vijijini yako hoi bin taabani kwa sasa.
Kama ni shule zinaweza kuwaangukia wanafunzi.
 
Serikali yenyewe unasema ma engineer wanatupotezea muda, heri kujenga kwa kutumia local fundi, fundi Maiko.
Acha uongo force account haina maana hiyo. Force account maana yake unatumia ma engineer walioajiliwa na serikali badala ya kutumia makandarasi ambao wamekuwa na ukiritimba kibao na gharama kubwa. Miradi mingi local fundi ndio wanaotumika wakisimamiwa na qualified engineers kwa hiyo usiwadharau local fundi mkuu.
 
Wewe ndiyo muongo.
Walimu wanawekwa ndani kwa kutosimamia ujenzi wa madarasa.
Pengine unayosema ni huko Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…