Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

Mkuu kwa wanaojielewa tu, walipitia njia ngumu sana awamu hiyo

I hate with passion mtu muongo pamoja na uwongo wenyewe ,uongo ni zaidi ya kuuq

For strange reasons though Watanzania tunapenda kuishi maisha ya uongo uongo.
Actually mtu muongo, mwenye hila na nia mbaya, hata vitabu vitakatifu unasema moyo wake ni pango la shetani.
 
Ushampata kichaka cha kuwasingizia?
 
Pole!
Kwa uelewa wako mdogo, pengine ma engineer unawasikia tu.
Ukimkuta engineer ana piga bati kwa nyundo au kusimika milunda ya zege nijulishe.
 
Edit kwanza basi
the first to post...ndilo tatizo.
====
Tunaweza kupata ushahidi kutoka kwa mleta mada kuwa hilo jengo lilikuwa lina jengwa na serikali kwakutumia njia ya forced account? Pia mketa mada anaweza ku declare interest kuwa hana uhusiano wowote na masuala ya ugavi( tendering and procurement)?
 
You are missing the point entirely.
Watu mlio narrow minded hamuoni precedence mbaya iliyokuwa set na serikali yenyewe katika sekta ya ujenzi.

Quick fix solutions katika mambo technical, always zina backfire.

Mtindo wa fundi Maiko ,only in Tanzania.
 
Tatizo utaliona ukiwa mbunguni/jehanamu baada ya kuangukiwa na hilo gorofa lako.
Hata iwe vipi, siwezi kutumia ma engineer uchwara mimi, heri nikakodi ma engineer Kenya kuliko hawa Ardhi University.
 
Ni ajali iliyosababishwa na utendaji kiufundi.
Ulegevu wa Sheria upo sana popote ndo maana hosptali watu wanafariki daktari halaumiwi.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
You are missing the point entirely.
Watu mlio narrow minded hamuoni precedence mbaya iliyokuwa set na serikali yenyewe katika sekta ya ujenzi.

Quick fix solutions katika mambo technical, always one backfire.

Mtindo wa fundi Maiko ,only in Tanzania.
Ha hahaaaa! Leta ushahidi Jidu watu waufanyie kazi achana na mbwembwe za ndama mchanga kwenye mteremko!
 
Hata iwe vipi, siwezi kutumia ma engineer uchwara mimi, heri nikakodi ma engineer Kenya kuliko hawa Ardhi University.
We popoma, hujui kuwa Engineering Degree ya Tanzania ina uzito mkubwa zaidi ya ile ya Kenya?
 
Kuna hosteli ilikuwa ikipanuliwa mara mmiliki akabadili gia angani akaanz kujenga nguzo juu kwa juu.
Jengo la hosteli likageuka kuwa ghorofa.mmiliki ni drs 7 mjanja mjanja.
Lile ghorofa ipo siku litaua wanafunzi. Halina zege ya chini waka nondo, ni nguzo zilichimbiwa kwenye baadhi ya kona. Kuna tawi moja la udsm na la uhasibu ndio wateja wa hio hosteli. It is just a matter of time likuja kushuka tu hata kama miaka 30 ijayo litaua.
Maeneo hayo hayo sitaki kutaja kuna muhindi nae alijenga kakwake hilo ni refu kidogo hakukua na bango kuonesha wahusika wanaojenga, lilienda kibubububu tu.
Hii nchi inavituko.
 
Wewe ni mwenzao na fundi maiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…