Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua

Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani

Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
  • Wakati lema yupo gerezani aliwazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona waliojaribu kwenda kama vick kamata alichukiwa jumla
  • Wakati tundu lissu yupo hospitalini kenya akawazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona
Hayo ni baadhi ya matukio ambayo yalimwaribia sana taswira ya serikali yake

Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana sina chuki na heche mfano wamemnyanganya passport yake na ameenda kenya bila utaratibu
  • Nashauri heche akirudi wasimkamate sababu wakimkamata tena itazua taharuki kwa wananchi na inapeleka picha mbaya kwa wananchi kwamba wana/anaonewa
 
1000167205.jpg
 
Aliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
 
Nimeona taarifa ya Heche imeenda viral mpaka taarifa ya habari citizen Kenya,huwa nashindwa kuelewa ni watumishi wa umma wa Serikali wanapigisha shot wamechoka na utawala au ni maagizo, kwasababu sioni sababu ya kumzuia na kumpa milage kiasi hiki........ tutakuwa na watu wajinga sana kwenye taasisi za umma kama siyo maagizo
 
Aliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
Kama ni kuipigisha shot gavamenti wamefanikiwa,kama ni maagizo basi tutakuwa na wajinga wengi sana kwenye mfumo wasiofikiria kabisa madhara hasi ya maamuzi yao
 
Aliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
Suki
 
Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani

Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani

Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana

Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana
Kiongozi division zero unategemea nini?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom