Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Pumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?ni ukichaa zaidi kuamini chadema kipo kwa ajili ya maslai ya wananchi
Pumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?ni ukichaa zaidi kuamini chadema kipo kwa ajili ya maslai ya wananchi
maslai ya nchi? sio nyie mliouza chama kisa lowasa alifika dau? 😂 😂Pumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?
Wewe ndo kuna saa unakuwa na akili kuweza kuelewa comment yangu. Hongera sanaKumbe Kuna saa unakuwaga na akili
si bora useme CHAUMA wanajali nchi kwa sababu wao wamejiandaa kwa HOJA kwann wachaguliwe sio nyie mnapenda kiki 😂 😂Pumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?
Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana
Kabisa, kuna watu serikalini either kwa makusudi au kutokujuwa ndio wanaleta ujinga huu, hakukuwa na sababu yoyote kumpa mtu kiki sababu Heche anatafuta kiki atrend ndio kazi ya mwanasiasa. Mambo mengine ya kijinga tu, wewe ukitaka kushusha thamani ya mwanasiasa mwache azurure tu mpaka achoke, mwanasiasa yoyote bila kiki haendi. Kuna shida kubwa ya wanaoshauri serikali.Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana
Washauri wengi wa viongozi wa kiafrika wanauza sana hofu kwa watawala na mwisho wa siku wanawaharibia watawala sababu lawama zinaenda kwa watawala na sio washauriKabisa, kuna watu serikalini either kwa makusudi au kutokujuwa ndio wanaleta ujinga huu, hakukuwa na sababu yoyote kumpa mtu kiki sababu Heche anatafuta kiki atrend ndio kazi ya mwanasiasa. Mambo mengine ya kijinga tu, wewe ukitaka kushusha thamani ya mwanasiasa mwache azurure tu mpaka achoke, mwanasiasa yoyote bila kiki haendi. Kuna shida kubwa ya wanaoshauri serikali.
Ni UKICHAA ZAIDI KUAMINI CCM KIPO KWA AJILI YA MASLAHI YA WANANCHI,TENA UNATAKIWA UWE MIREMBEni ukichaa zaidi kuamini chadema kipo kwa ajili ya maslai ya wananchi
CHADEMA chini ya Lissu ni chama kikubwa chenye nguvu. Hata wewe ungekuwa serikali ya ccm ungefanyaje?Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana
HeheheeNi UKICHAA ZAIDI KUAMINI CCM KIPO KWA AJILI YA MASLAHI YA WANANCHI,TENA UNATAKIWA UWE MIREMBE
Unamwacha heche aende kuzika bila usumbufu nakuhakikishia majority ya watanzania wasingejua hata kama ameenda kuzikaCHADEMA chini ya Lissu ni chama kikubwa chenye nguvu. Hata wewe ungekuwa serikali ya ccm ungefanyaje?
Sasa serikali imejaza wazanzibari vichwa bapa kichwani watupu kabisa unadhani wanajua hilo, hata mimi nilikiwa sijui kama heche anaenda kumzika huyo bwana odinga, ila nimejua baada ya hicho kisa cha heche na uhamiaji , wameicheza vizuri ngoma ya lissuJioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana
Kuna mambo ni ya kuupuzia kama serikali waachane nayoSasa serikali imejaza wazanzibari vichwa bapa kichwani watupu kabisa unadhani wanajua hilo, hata mimi nilikiwa sijui kama heche anaenda kumzika huyo bwana odinga, ila nimejua baada ya hicho kisa cha heche na uhamiaji , wameicheza vizuri ngoma ya lissu
Serikali ikijaa wajinga haya ndiyo matokeo yake ,hakukuwa na ulazima wowote wakufika hapa nankuendelea kubeba aibu hii kama wangemuacha aendezake kimya kimya,hii serikali imesha kuwa sugu wa kudhalilishwa kimataifa na haijali kabisa inaona poa tuu bila kuona madharaIts not far to the neverland
View attachment 3490428
Tatizo wao wanaamini wanapambana na chadema na wanajitoa ufahamu kwamba chadema ni watu kama ilivyo ccm ni watu , sasa wao hawataki kuamini kwamba CHADEMA ni chama kama ilivyo ccm na chadema nacho kimebeba maamuzi ya watanzania na wanachama wake ni watanzania kama ilivyo ccm, wao wana treat chadema kama kikundi cha watu tu na sio chama chenye imani kubwa kwa wananchi na hawataki kuamini hilo hapo ndipo wanapo kosea kuelewa.Kuna mambo ni ya kuupuzia kama serikali waachane nayo
Hii ndo sababu kila mtumishi anajitoa ufahamu metrics zetu za kupandisha vyeo ni za ajabu sanaKuna watu wamekalili ukimzuia au kumkomesha mpinzani chap kwa haraka unapandishwa cheo sasa hii ndo shida
ahh! Kimada wa abdul kwenye ubora wake!Aliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.