Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
maslai ya nchi? sio nyie mliouza chama kisa lowasa alifika dau?

Umeongea Jambo la msingi wapinzani Wanapata umaarufu kwa vitu vya kijingaJioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Hayo ni baadhi ya matukio ambayo yalimwaribia sana taswira ya serikali yake
- Wakati lema yupo gerezani aliwazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona waliojaribu kwenda kama vick kamata alichukiwa jumla
- Wakati tundu lissu yupo hospitalini kenya akawazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana sina chuki na heche mfano wamemnyanganya passport yake na ameenda kenya bila utaratibu
- Nashauri heche akirudi wasimkamate sababu wakimkamata tena itazua taharuki kwa wananchi na inapeleka picha mbaya kwa wananchi kwamba wana/anaonewa
Chadema kutafuta madhaifu ya chama tawala hiyo ni sehemu ya kazi yao ili chama Chao kipate kuungwa mkono na lazima iwe hivyo sio tu Chadema ni kwa chama chochote cha upinzani swali linakuja Je huwa wanafanya hivyo kwa kuwa na Nia ya dhati au ni kwaajili ya kupata madaraka au maslahi binafsi? Majibu utakuwa nayo wewePumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?
Ukiongea hivyo huwa wanaumia sanamaslai ya nchi? sio nyie mliouza chama kisa lowasa alifika dau? 😂 😂
Kwenda nje bila utaratibu ni nani anatakiwa kukamata? 😄😄😄Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Hayo ni baadhi ya matukio ambayo yalimwaribia sana taswira ya serikali yake
- Wakati lema yupo gerezani aliwazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona waliojaribu kwenda kama vick kamata alichukiwa jumla
- Wakati tundu lissu yupo hospitalini kenya akawazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana sina chuki na heche mfano wamemnyanganya passport yake na ameenda kenya bila utaratibu
- Nashauri heche akirudi wasimkamate sababu wakimkamata tena itazua taharuki kwa wananchi na inapeleka picha mbaya kwa wananchi kwamba wana/anaonewa
Mpango wao ni kuzua taharukiJioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Hayo ni baadhi ya matukio ambayo yalimwaribia sana taswira ya serikali yake
- Wakati lema yupo gerezani aliwazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona waliojaribu kwenda kama vick kamata alichukiwa jumla
- Wakati tundu lissu yupo hospitalini kenya akawazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana sina chuki na heche mfano wamemnyanganya passport yake na ameenda kenya bila utaratibu
- Nashauri heche akirudi wasimkamate sababu wakimkamata tena itazua taharuki kwa wananchi na inapeleka picha mbaya kwa wananchi kwamba wana/anaonewa
Umewasha na VPN uandike huu upuuzi! Kwahiyo hiki kinachoendelea ni jitihada za CHADEMA na viongozi wake kupambania tonge😂😂ni ukichaa zaidi kuamini chadema kipo kwa ajili ya maslai ya wananchi
Siku yaja utajutia kunitukana. Endeleaahh! Kimada wa abdul kwenye ubora wake!
Vyama vyote havipo kwaajili ya wananchi Bali kwa maslahi yao binafsi ukilijua hili huwezi kuwa mshabiki wa chamaUmewasha na VPN uandike huu upuuzi! Kwahiyo hiki kinachoendelea ni jitihada za CHADEMA na viongozi wake kupambania tonge😂😂
Muda huo utakuwa jela au umetoroka na familia yako kwa ndege maana wananchi tutakuwa tumeshalikomboa Taifa toka kwenye mikono yenu mafisadiSiku yaja utajutia kunitukana. Endelea
Ndio ujue kuwa nchi inaongozwa na wajingaJioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Hayo ni baadhi ya matukio ambayo yalimwaribia sana taswira ya serikali yake
- Wakati lema yupo gerezani aliwazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona waliojaribu kwenda kama vick kamata alichukiwa jumla
- Wakati tundu lissu yupo hospitalini kenya akawazuia wabunge wa ccm kwenda kumuona
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana sina chuki na heche mfano wamemnyanganya passport yake na ameenda kenya bila utaratibu
- Nashauri heche akirudi wasimkamate sababu wakimkamata tena itazua taharuki kwa wananchi na inapeleka picha mbaya kwa wananchi kwamba wana/anaonewa
Nikama serikali haijifunziUmeongea Jambo la msingi wapinzani Wanapata umaarufu kwa vitu vya kijinga
Hapo kwenye hilo geti siyo kazi ya polisi tena, hapo ni kazi ya jeshi...Its not far to the neverland
View attachment 3490428
Endelea kuotaMuda huo utakuwa jela au umetoroka na familia yako kwa ndege maana wananchi tutakuwa tumeshalikomboa Taifa toka kwenye mikono yenu mafisadi
Acha kutisha watu mrembo.Siku yaja utajutia kunitukana. Endelea