Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Wewe tukana, kejeli ukichoka kapumzike alafu urudi tena uendeleeWe kanywe dawa kijana we kichaaa
Haya ndo mambo nayoyaongelea ambayo hayakuwa na ulazimaIts not far to the neverland
View attachment 3490428
Kama ni kuipigisha shot gavamenti wamefanikiwa,kama ni maagizo basi tutakuwa na wajinga wengi sana kwenye mfumo wasiofikiria kabisa madhara hasi ya maamuzi yaoAliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
Naunga mkonoWe kanywe dawa kijana we kichaaa
Kuna haja gani kwa sasa kuwapa tention kubwa CHADEMA inafika wakati CHADEMA ndio inatajwa mara nyingi zaidi wakati hata kwenye uchaguzi haishiriki.Naunga mkono
Kumbe Kuna saa unakuwaga na akiliAliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
SukiAliyemzuia Heche kaharibu sana. Kampa airtime ya bure kabisa. Chama cha siasa kuongelewa ndo kinakuwa hai. Leo na kesho ataongelewa Heche na CHADEMA bila gharama zozote wakati inatakiwa iongelewe CCM kwenye wakati huu wa kampeni. Hili kosa la kiufundi lisirudiwe tena.
Ikishawapuuza halafu unategemea ndio ifanye nini? Shida hii serikali haipo serious.Kuna haja gani kwa sasa kuwapa tention kubwa CHADEMA inafika wakati CHADEMA ndio inatajwa mara nyingi zaidi wakati hata kwenye uchaguzi haishiriki.
Serikali iwapuuze hawa watu.
ni ukichaa zaidi kuamini chadema kipo kwa ajili ya maslai ya wananchiNi Ukichaa kuamini Serikali haiwaonei Wapinzani.
Kiongozi division zero unategemea nini?Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani hakuna ambaye angejua hata kama ameenda msibani
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick wapinzani ambazo hazina ulazima na inaharibu taswira ya serikali kwamba inaowaonea wapinzani
Hata wakati wa utawala wa magufuli mambo yaliyomwaribia taswira ni mfano wa haya ya kudeal na wapinzani mpaka kwenye vitu ambavyo ni vya kawaida sana
Serikali inawapa watu ushujaa watu kwa mambo ya kawaida sana