Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

Umeongea Jambo la msingi wapinzani Wanapata umaarufu kwa vitu vya kijinga
 
Pumbavu kabisa wewe! Kuna watu wanaojali maslahi ya kweli ya Watanzania nchi hii kama Chadema?
Chadema kutafuta madhaifu ya chama tawala hiyo ni sehemu ya kazi yao ili chama Chao kipate kuungwa mkono na lazima iwe hivyo sio tu Chadema ni kwa chama chochote cha upinzani swali linakuja Je huwa wanafanya hivyo kwa kuwa na Nia ya dhati au ni kwaajili ya kupata madaraka au maslahi binafsi? Majibu utakuwa nayo wewe
 
Kwenda nje bila utaratibu ni nani anatakiwa kukamata? 😄😄😄
 
Mpango wao ni kuzua taharuki
 
Umewasha na VPN uandike huu upuuzi! Kwahiyo hiki kinachoendelea ni jitihada za CHADEMA na viongozi wake kupambania tonge😂😂
Vyama vyote havipo kwaajili ya wananchi Bali kwa maslahi yao binafsi ukilijua hili huwezi kuwa mshabiki wa chama
 
Ndio ujue kuwa nchi inaongozwa na wajinga
 
Watu wanataka kupanda vyeo kwa mgongo wa kuitesa CHADEMA.
 
Sasa hivi nchi haina mwenyewe, hata mgambo anakwambia unanijua mimi ni nani ntakupoteza.
 
Hivi mna habari kwamba wakurya hawataki upimbi? watu wameenda kumtoa kituoni kwa nguvu! Yaliyotokea ni huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…