Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

Hii ndo sababu kila mtumishi anajitoa ufahamu metrics zetu za kupandisha vyeo ni za ajabu sana
Ndio maana tunataka katiba mpyaa ambayo ndio itatoa muongozo mzina wa kuhusu upandaji wa vyeo kwenye utumishi wa umma, na hili kupanda cheo itabidi ufanye kazi kweli kweli.
 
Ni hatari sana pale akili ndogo inapokabidhiwa madaraka makubwa kupita kiasi.

Tunachokiona sasa hivi ni highest level of misuse of sovereignity power and authority.

Mbaya zaidi haoni hilo kuwa amekataliwa na watu, yeye amechagua kuwaamini opportunists/machawa wanamdanganya kuwa eti watanzania wengi bado wana imani na yeye, isipokuwa wapuuzi wachache tu wa chadema ndio hawampendi...

Na wakati watanzania wasiomtakia mema ni weeeeeengi kweli kwanzia ndani ya chama chake mpaka wale wasiokuwa na vyama
 

AKILI mbovu kwani hawaonewi?
 
Yule mdada wa uhamiaji nimeshindwa kumuelewa. Pasi ya Heche anayo mkononi halafu anasema Heche yuko nje yanchi
 
Washauri wengi wa viongozi wa kiafrika wanauza sana hofu kwa watawala na mwisho wa siku wanawaharibia watawala sababu lawama zinaenda kwa watawala na sio washauri

..Mama Abduli sio mgeni katika siasa na uongozi. Hayo uliyoyaeleza lazima alikuwa anayafahamu kabla hajawa Raisi. Kama ingekuwa ni jambo limetokea mara moja basi hoja yako ingekuwa na uzito. Lakini mambo unayoyalalamikia yametokea mara nyingi, na kwa muda mrefu. Kuna makosa Mama Abduli anayarudia toka kwa mtangulizi wake. Kwa msingi huo, hakuna mashaka kwamba tatizo ni Mama Abduli mwenyewe, sio wanaomshauri.
 
CCM always wanafana mambo bila a kutumia akili, wao ni kuweka nguvu na ubabe mbele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…