Serikali inunue umeme Ethiopia, tatizo ni kubwa mno. Pole Biteko

Pamoja na yote uliyoyaongea
Mbona kipindi Cha Magu hakukua na mgao?
Maji yalikuwa hayapungui? Au ni nn?
 
Mmh kipindi Cha magufuli?!
Kwakweli Kwa hili hapana umeme haukuktika,ss watuambie ilikuwaje na sshv ni nn?
Ulikuwa unakatika. Kinachofanya sasa inaonekana kuwa na kelele ni siasa. Kila mmoja anampiga vita mwenzie. Hata huyo Biteko ana kazi ngumu kweli. Wakati wa JPM ungekoholea wapi ndugu? Ndio maana kumbukumbu zinaonyesha umeme haukukatika. Wakati mwingine ni bahari nzuri tu. Hakukuwa na ukame, mafuta hayakupanda n.k.
 
Kwahiyo mahitaji yalipungua Rais alipokuwa Magufuli
 
Umeme unakatika saa mbili asubuh na kurudi saa moja jion kila baada ya siku moja.huun mgao mkali sana Tanesco watoe tu ratiba wameshashindwq
 
Mmh mengine sawa
Ila kwenye kukatika hapana nakataa!.
Labda huku nilikokuwa kulikuwa hatuoati mgao
 
Umeme unakatika saa mbili asubuh na kurudi saa moja jion kila baada ya siku moja.huun mgao mkali sana Tanesco watoe tu ratiba wameshashindwq
Huku niliko Kila siku,sio hata baada ya siku 1
Yaani Kila siku ,ni asbhi mpk jioni
Sa najiuliza do mgao wa aina gani huu?
 
Kwani nani kasema kipindi cha Magufuli hawakufanya ukarabati/matengenezo ndo maana ulikuwa haukatiki?.Halafu mgao ukaanza kwasababu walikuwa wanafanya matengenezo
 
Nakupiga kiongozi, umeme haukukatika kama sasa nakumbuka nimekaa miezi 6 umeme haujawahi hata kukata mpeni credits zake
 
Nyie mnaishi wapi ambako hakuna maji wala umeme, acheni siasa za kinafki UMEME UPO NA MAJI YANATOKA
 
Wakati wa magufuli
πŸ“’πŸ“’ Nchi inaharibika, pesa hakuna, ila umeme ulikuwepo na maji yalitoka, watu walikula wakasaza

Wakati wa kizimkazi
πŸ“’πŸ“’ Mama amefungua nchi, pesa inaonekana mjini, maisha yamekua mepesi, kula wali imekua anasa, mafuta yamepanda kwa zaidi ya sh 500+, mkafanya na maridhiano uchwara πŸ˜‚πŸ˜‚, umeme unawaka kwa saa 5 kwa siku, maji wiki ya pili mnalia

Watanzania muwekwe kundi gani nyie..? Mlichokitaka mmekipata
 
Kampuni ya TPC Moshi inauza umeme wake Kenya. Umeme huo ni mkubwa na unazalishwa kutokana na mabaki ya miwa kuna kipindi walitaka kutoa umeme bure kwa vijiji jirani ila Tanesco wakawazuia.
Chanzo cha habari hizi sio rasmi
 
Kuwa na umeme imekuwa fadhila.

Kuwa na umeme imekuwa ni anasa.

Miaka 60+ ya uhuru, lakini wapi. Nchi imekuwa ngumu sana.
 
Tatizo linaenda kuathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kiujumla, mgao wa zaidi ya masaa 12 kwa maeneo ya miji mikubwa hasa Dar ni crisis ambayo inatakiwa kutangazwa hali ya dharula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…