Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .

Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:-

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu, kwa Dossa, anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Ame endelea kueleza kuwa hizi shule sasa zimekuwa kama mahekalu, zinavallisha watoto mavazi ya dini na kuwajaza mambo ya dini kuliko elimu.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Uko sahihi.
 
Sirikali sio imeshindwa kutengeneza shule bora hata zaidi ya hizo unazotamani zitaifishwe,shida mchwa ni wenngi mno humo sirikalini na iwapo wakajaribu mchezo huo miaka miwili ni mingi na japo hijihada za kuzaliza bidhaa bora kutoka shule hizo itakuwa imezikwa rasmi.Na hapo tutokuja na mawazo ya patnership,au privatization na mwarabu.
 
Basi kila mkoa SErikali ichukue shule moja au Mbili, mfano wataifishe FEZA na Al muntaziri hapo DAr es salaam, Pale Mbeya Wachukue ST FRANCIS , Moshi wachukue Islamiya Jamaa na Kirinjiko Islamic Seminary.
Hizi Al Seminary zichukuliwe.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.

Hakuna sababu ya kuzitaifisha shule zinazimilikiwa na taasisi za kidini. There is a free market economy.
 
Kwanza serkali irudishe shule zote za dini ilizotaifisha miaka ya 70 kwani sasa zimekuwa za hovyo kabisa.
 
Huoni wanao faulu ni watu wa dini moja?
Zote zichukuliwe na serikali.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Ni upuuzi wa kutukuka serikali kupiga marufuku shule za dini au kuzitaifisha. Sababu zangu ni hizi;

1. Huwezi kumsaidia masikini kwa kumshusha chini tajiri. Msaada anaouhitaji masikini ni kupandishwa yeye. Ikumbukwe, serikali ilishawahi taifisha shule hizo na kuzirudisha tena mikono kwa wamiliki wake. Ubora wa elimu haupandishwi kwa kuwanyang'anya shule wale wanaojuwa kuziendesha.

2. Hakuna kosa wamefanya hao wanaomiliki shule zinazofanikiwa. Kutaishwa hutokana na makosa au uvunjwaji wa sheria fulani. Kuendesha shule vizuri hadi watu kupata elimu bora hakujawaho kuwa kosa kisheria. Unless otherwise wivu wa wanaofeli..!!!

3. Waislamu walishawahi pewa majengo waanzishe chuo lakini tunaona jinsi chuo kilivyo. Ni kama hakipo tu..!! Vile vile kwenye sekta ya benki, waliruhusiwa hadi kuanzisha islamic banking kwenye benki za uma, lakini wapi..!! Huku kwa wakristo, benki zinafanikiwa tu.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.

Umesema vyema sio shule zote za kidini zinafanya vizuri.

Na ukweli ni kwamba hata kwa hiyo dini unayoona shule zake zinafanya vizuri... sio zote! Zipo zenye matokeo mabaya ila ni chache

Ushauri uliotoa haulengi kutatua tatizo ila kuliongeza na kulifanya sugu.

Mtazamo wangu
Wasiofanya vizuri wakajifunze kwa wanaofanya vizuri na sio wanaofanya vizuri waadhibiwe kwa kufanya vizuri.
 
Back
Top Bottom