Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Kubinafsisha hapana... Taasisi nyingi tu Zina shule mbali na hizi za kidini. Nafikiri taasisi na serikali wakajifunze mbinu kutoka kwao kwa manufaa mapana ya taifa.
Hizo shule ni biashara,mimi wamekuja mchukua binti very intelligent, wamesema watamsomesha bure kila kitu,Ili shule ijenge jina,so kama biashara tegemea mambo ya pembeni ya kuboost biashara,na huwezi taifisha biashara ya mtu kisa inafanya vizuri,shule ya sekondari jokate mwegelo haina zero,haina four,one kibao huko kisarawe
 
Huoni wanao faulu ni watu wa dini moja?
Zote zichukuliwe na serikali.
Viongozi wakuu wa serikali na viongozi wote wa Baraza la mitihani wote ni dini yako mlalamikaji, mlisema ndalichako anawafelisha, mkamfukuza, bado mnalalamika, dah
 
Nimesoma post hii lakn cjaelewa kitu, maana story inapendekeza hivi Kisha inarudi vile, sasa kipi ni kipi sijui. Labda siwezi kisoma. Ngoja nisome post za wenzangu huenda nikaambulia kitu.
IQ hazifanani !
Kuna wanaosema tupo uchumi wa kati na wengine tupo

Viongozi wakuu wa serikali na viongozi wote wa Baraza la mitihani wote ni dini yako mlalamikaji, mlisema ndalichako anawafelisha, mkamfukuza, bado mnalalamika, dah
Tunahitaji kufanya zaidi, hii siyo afya kabisa, au walmu wetu walipwe na serikali.
 
Siyo kweli,sisi wanyamwezi tuna kumbukumbukumbu zetu
hizo shule walijenga waingereza special kwa ajili ya watoto wa machief, ndio maana hata nyerere alipelekwa kule. hakuna chief alijenga shule, kwa pesa ipi, na mbona wanyamwezi wenyewe ni kati ya watu wasio na elimu hapa nchini kama mlishakuwa na shule? usijiaibishe.
 
IQ hazifanani !
Kuna wanaosema tupo uchumi wa kati na wengine tupo

Tunahitaji kufanya zaidi, hii siyo afya kabisa, au walmu wetu walipwe na serikali.
unataka waalimu wa shule za kiislam walipwe na serikali? mbona hadi mlipewa chuo kikuuu mmjengewa lakini mnashindwa kukiendesha kinashika mkia tu bado. shule gani ya kiislam nyerere alinyang'anya.
 
Usiwe mkali hivyo, kusaidiana ni pamoja na kubebana.
Mtulipie walimu walau kila mkoa shule 5 tu
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?
Tuanze na sababu za kwanini wengine kufeli na wengine kufaulu, pili dini ina mchango gani kwenye hayo matokeo?
 
Brainwashed na dini, hii ndio sababu kuu.
Mwananfunzi anawaza dini ya mkoloni wake kuliko masomo.
 
Kwa mwislamu kuwa mbumbumbu ni suna kwa kuwa hata Bw Mudi alikuwa mbumbumbu
 
hizo shule walijenga waingereza special kwa ajili ya watoto wa machief, ndio maana hata nyerere alipelekwa kule. hakuna chief alijenga shule, kwa pesa ipi, na mbona wanyamwezi wenyewe ni kati ya watu wasio na elimu hapa nchini kama mlishakuwa na shule? usijiaibishe.
Siyo kanisa tena?..kakwambia nani wanyamwezi hawana elimu?
 
nimeverify nimekuta ilijengwa na waingereza, wakoloni, sio kanisa. haikujengwa na machief wa kinyemwezi kama unavyodai. wali waliwauza tu na kuwapeleka zanzibar huko hawakuwa na akili ya kujenga shule wala elimu hawakuwa nayo. au Tiputipu alikua msukuma, si mnyamwezi yule, mirambo alifanya chochote?

ila tukirudi kwenye hoja kuu, pigeni kazi, acheni uvivu, na wivu kwa wakatoliki.
 
Mosi hakuna mnyamwezi aliyeuzwa utumwani, tabora ilikua transit,pili,muingereza kaitawala tanganyika 1920,ni uwongo ghafla tu ndani ya mwaka unusu ajenge shule,halafu miaka nane baadae ajenge ya wasichana
 
We jamaa jitafakari upyaa yani serekali hizi za kwake imeshindwa kuziendesha matokeo mabovu unataka uzipe tena hizi za dini zitaifishwe, huo ni upungufu wa kufikiri kichwani
 
Mosi hakuna mnyamwezi aliyeuzwa utumwani, tabora ilikua transit,pili,muingereza kaitawala tanganyika 1920,ni uwongo ghafla tu ndani ya mwaka unusu ajenge shule,halafu miaka nane baadae ajenge ya wasichana
ok sawa mnyamwezi.
 
Back
Top Bottom