MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 551
- 968
Elimu ya kuwafungisha ndoa watoto wetu wa kiumemi ninachoangalia ni elimu tu, huyo papa unamjua wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya kuwafungisha ndoa watoto wetu wa kiumemi ninachoangalia ni elimu tu, huyo papa unamjua wewe
upapa siujuiWew kitabu chako cha civics kilichanwa na watoto wa madrasa unakasirikia dini nzima upapa huo
hiyo elimu unaijua weweElimu ya kuwafungisha ndoa watoto wetu wa kiume
Endelea kusoma shule kijana nenda prepoSasa kama mtu jambo dogo kama hili anashidwa kuelewa ataweza kuelewa Simulteneous Equation kweli?
Hapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?Hizo ambazo haujazisikia ndo zimefanya vbaya.. haumjui papà fransis ila shule zake una Zishobokea
Sasa unadhani chuo gani na hao wasomi wanafanya Nini hizo elimu wanafanya Nini hazina faida ndugu wenye mafanikio ambao hawajaenda shuleWalipewa hadi majengo ya serikali waanzishe chuo kikuu ila nduo chuo kinachotoa vilaza zaidi duniani ukiacha maawal sekondari 😀😀😀
Nipo juu kwenye ndege Emirates ya Dubai inamilikiwa na director Ahmed bin qalib mbwa wewe.. nakunywa maziwa ya ng’ombe kwenye kikombe cha made in Tanzania ya raisi wa dini yangu.. nimevaa kobaz from taliban natumia Sony ya yusuph malik chawa weweHapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?
Suluhisho ni serikali kuboresha shule zake.Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?
Ndo unitajie shule hata 1 tu ya kirokole zilizo fanya vizuri kuzizidi hizo shule za waislam.shule zipi za 'warokore' unazozijua zimefanya vibaya?
zifanyi promo kwa shule hizoNdo unitajie shule hata 1 tu ya kirokole zilizo fanya vizuri kuzizidi hizo shule za waislam.
Promo gani kijana hauna unacho kijua.. unajua kufuga chuki tu sababu ya kuchaniwa kitabu chako cha civicszifanyi promo kwa shule hizo
Kutoka Wikipedia:Unajua maana ya seminary?
Kama ukafikiri wao ndo uliwezesha kugundua hizo product nyinyi makafiri weusi mna product gani mlio igundua kutokana na ukafiri wenu?Hapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?
Haya mtakatifu..!!Sasa hata ukieleweshwa tangu lini makafiri mkaelewa? Halafu mnafaulu sana tumewakubali mbona nchi bado masikini?
Asante..!!Namaanisha wewe ni KMa
Hizo shule zina mchanganyiko wa dini zote lakin. Na kingine hawafundish academically tu. Ni pamoja display uwajibikaji, utegemez nk nk. Kule unayaish maisha halis
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?
Hapa kuna hoja muhimu:
1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.
2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.
3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.
4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.
MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Asante kushukuruAsante..!!
Nyie chuki ndo zinawapoteza badala umchukie shetani unachukia imani ya mtu mwingine.. hawa viongozi wenu wa dini wana wafundisha nini hukoHaya mtakatifu..!!