Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

ubwabwa unaujua wewe, dini yako ilikurupuka kuiga uanzishaji shule, ona matokeo yake! Bora muendelee na abrakadabra zenu tu, pelekeni watoto wenu wakasome kwenye shule za dini ile. Wale wanajua kuendesha shule zao. Shule za serikali nazo zipo zinafanya vizuri tu
Mbona kuna shule nyingi za dini yangu zinafanya vzuri na matokeo ni mazuri sijaona ukizipongeza.

Abrakadabra ndo Nini??
 
Serikali itaifishe shule za kidini? Hizo shule zake tu imeshindwa kuziendesha mnataka ichukue mzigo ambao haiwezi?

Nchi iliahaamua kubinafsisha kila kitu, elimu, afya, uchumi nk. Huwezi kuleta hoja ya kutaifisha shule, basi wataifishw hospitali za makanisa, benki binafsi nk...hilo hawawezi, sio tu hawawezi kubinafsisga, hata kuziendesha hawawezi.
 
Hao hao Asian.
Ingekuwa ya Mizimu kama Yericko Nyerere ningekushauri, ila hizi doni zinazohubiri ubaguzi, kukataza kula hiki ila kula kile, sijui wewe unampa mwenzio jina baya etc ni upuuzi mtupu.
 
Kwanza serkali irudishe shule zote za dini ilizotaifisha miaka ya 70 kwani sasa zimekuwa za hovyo kabisa.
Hazikuwa za dini bali wamiliki wa hizo shule walikuwa na dini na zilikuwa zikifundisha watoto wa walio na dini na wasio na dini
 
uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Kama ww sio mfuasi wa papa na haumtambui, mbona upo unajivunia ufaulu wa shule zinazo milikiwa na taasisi anayo iongoza? kwanini usijivunie shule za warokole wenzio?
Unaweza kunitajia hata shule moja inayo milikiwa na warokole wenzio iliyo fanya vizuri kuzidi hizo shule za waislam unao wakejeli?
 
shule zipi za 'warokore' unazozijua zimefanya vibaya?
 
Hao hao Asian.
Ingekuwa ya Mizimu kama Yericko Nyerere ningekushauri, ila hizi doni zinazohubiri ubaguzi, kukataza kula hiki ila kula kile, sijui wewe unampa mwenzio jina baya etc ni upuuzi mtupu.
Kuna dini ya mizimu? Au tamaduni
 
Zile shule zinafanywa vizuri kwasababu ya jinsi zinavyoendeshwa, serikali ikizitaifisha zitakufa kwasababu serikali ina mambo mengi haina umakini.

Chukua mfano tengeru boys, inafanyia interview wanafunzi zaidi ya 10,000 lakini inachukua wale 200 bora tu.

Sasa serikali ikiigia hapo, si itakuwa inasajili wanafunzi wengi bila kujali ubora ili iogeze mapato?
 
Kuna shule mmoja ya dini nilikuwa na kazi zangu hapo. Wana darasa linalolomika kama darasa la shule elimu dunia na elimu akhera. Kuna kitabu cha elimu dunia kilikuwa kinazagaazagaa mule darasani nikakiokota na kukiweka palipo na vitabu elimu akhera. Kumbe kile kitabu cha elimu dunia hakikustahili kuwekwa pamoja na vitabu elimu akhera, walikitoa pale wakakichanachana, asubuhi nakutana na vipande vya kurasa kitabu kimeharibiwa. Nishikwa na hasira na kutaka kujua ni maalimu akafanya vile au wanamadrasa wake. Kwa nini vile vitabu vya dini uiachwe salama na kile cha kufundishia elimu dunia kiharibiwe? Cha ajabu akaja mwalimu wa elimu dunia mwenye imani hiyo akaanza kunidai kitabu kile nikilipe akidai alinikabidhi kizima kwa nini nilikiweka palipo na vitabu vya dini wakaja wanamadrasa wakakiharibu. Huyo mwalimu nilimjibu nina uwezo wa kulipa hicho kitabu cha elimu dunia hata nakala tatu ila kwa akili mlizo nazo kudharau elimu dunia sitalipa. Wanachanganya sana watoto kwa elimu akhera na elimu dunia, dunia wanaipuza
Makafiri bwana paukwa pakawa ndeeefu ya kipuuzi 😆😆😆😆😆😆😆
 
Hao wengine si waige kila kinachofanyika kwa Wenzao wanaofanya vizuri?.
 
uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Sasa kama mtu jambo dogo kama hili anashidwa kuelewa ataweza kuelewa Simulteneous Equation kweli?
 
Wew kitabu chako cha civics kilichanwa na watoto wa madrasa unakasirikia dini nzima upapa huo
 
Back
Top Bottom