Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Umesema vyema sio shule zote za kidini zinafanya vizuri.

Na ukweli ni kwamba hata kwa hiyo dini unayoona shule zake zinafanya vizuri... sio zote! Zipo zenye matokeo mabaya ila ni chache

Ushauri uliotoa haulengi kutatua tatizo ila kuliongeza na kulifanya sugu.

Wasiofanya vizuri wakajifunze kwa wanaofanya vizuri na sio wanaofanya vizuri waadhibiwe kwa kufanya vizuri
Asante sana kwa hii komenti. Watu badala ya kuimarisha mifumo ya uendeshaji wa shule zao, wanataka wanaoweza kuendesha shule wanyang'anywe..!!!
 
Wataifishe hizo shule ili iweje 🤔 serikali shule zao wameshindwa kuzifanya kua bora unadhani wakizichukua hizo shule zitaendelea kua bora 🤔 ningekuelewa kama ungetaka serikali iboreshe shule zake ziwe shule bora kwa sababu hilo linawezekana vizuri kabisa, kama bibi chaudere amechota hela kwetu na kwenda kujenga shule za ghorofa kwao basi ujue inawezekana kabisa
 
Basi kila mkoa SErikali ichukue shule moja au Mbili, mfano wataifishe FEZA na Al muntaziri hapo DAr es salaam, Pale Mbeya Wachukue ST FRANCIS , Moshi wachukue Islamiya Jamaa na Kirinjiko Islamic Seminary.
Hizi Al Seminary zichukuliwe.
Serikali haiwezi kuzichukua na zikabaki vile vile. Hizo shule zinapata ufaulu mkubwa kwa sababu wanachuja wanafunzi sana na kuchukua wale top notch tu. Yani ufaulu wao hautokani tu na kufundisha sana bali pia kuchukua tu wanafunzi wanaojiweza kitu ambacho ni tofauti na shile za serikali.
Serikali inapaswa kuboresha shule zake lakini haiwezi eti kuchikua wanafunzi A class tu wengine ikawatosa
 
Huoni wanao faulu ni watu wa dini moja?
Zote zichukuliwe na serikali.
Hao wasiofaulu kwani wamenyimwa nafasi shule za Kikristo? St Fransis Mbeya na nyingine za Wakristo hazibagui dini zipo open kwa kila mtu. Seminary za wa Katoliki ni kwa ajili ya wanaosomea upadre tu.
 
Ntarudi kuona kama umesikika na wenyewe hata wivu una sauti yake japo haivunji kuta za nyumba
 
Asante sana kwa hii komenti. Watu badala ya kuimarisha mifumo ya uendeshaji wa shule zao, wanataka wanaoweza kuendesha shule wanyang'anywe..!!!

Kwa mawazo hayo ni wazi watu wanaweza kuwa wamesoma lakini ubinafsi na ubaguzi unawaposhusha kuuona ukweli

Mwenyezi Mungu atusaidia
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Ungetuletea zile shule zilizowahi kutaifishwa na serikali tujue zinaendeleaje ule tuweze kuipa mashiko hoja yako hii nzuri.
By the way,yule mzee anayeuza maggazeti hapo kona/makutano ya Mkwepu na Jamhuri kwenye round about bado anaendelea na kazi yake?
Wae wahindi wanaofanya printing na photocopy nao bado wapo?
 
Uko sahihi.
Kusapoti kwa namna hii hufanywa na wenye wivu tu..!!! Wenye wivu huwa hawajitathimini kwanini wapo vile walivyo, wao ni kuwalaumu wengine tu kwa kushindwa kwao kuendesha mambo yao. Na hufikia kiwango cha juu sana cha wivu kiasi cha kuwaza kuwanyang'anya mali zao wote waliofanikiwa.

By the way, hata kwenye hela, leo hii tukichukua hela zote duniani na kugawana kiasi sawa kwa kwa kila mmoja, BADO BAADA YA MUDA ZITARUDI KWA WALE WALE. Maana ndo wenye uwezo wa kuzimiliki ipasavyo.

CC Jaji Mfawidhi
 
Ile dini walikurupuka kuanzisha shule kwa kuiga dini ile. Kinachowaponza ni kuchanganya mafunzo ya aina mbili kwa wakati mmoja. Mara ahera mara dunia, wanachanganya watoto washindwe kuelewa washike lipi
 
Sasa Ukobazi na elimu wapi na wapi? Wao wana elimu ya majini na kuunda milipuko tu.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Mawazo mgando
 
Kwa mawazo hayo ni wazi watu wanaweza kuwa wamesoma lakini ubinafsi na ubaguzi unawaposhusha kuuona ukweli

Mwenyezi Mungu atusaidia
Yaani wanaumia sana wakione wenzao wanafanikiwa. Unfortunately hawako tayari kwenda kujifunza kwa wanaweza..!!! Halafu, hawajiulizi, kwanini maeneo yaliyojaa waislamu au maeneo yaliyowahi kufikiwa na waarabu muamko wa elimu upo chini sana??? Check maeneo ya pwani (Lindi, Mtwara, Tanga, Zenji etc) au Tabora and the like..!!
 
Kuna mambo mengi yanachangia zile shule za dini ile kufeli vibaya. Wanakumbatia sana udini, wanapenda kuajiri wa imani yao hata kama kichwani ni watupu. Udini wao unawajengea mentallity ya kupuuzia masomo ya kidunia
 
Serikali haiwezi kuzichukua na zikabaki vile vile. Hizo shule zinapata ufaulu mkubwa kwa sababu wanachuja wanafunzi sana na kuchukua wale top notch tu. Yani ufaulu wao hautokani tu na kufundisha sana bali pia kuchukua tu wanafunzi wanaojiweza kitu ambacho ni tofauti na shile za serikali.
Serikali inapaswa kuboresha shule zake lakini haiwezi eti kuchikua wanafunzi A class tu wengine ikawatosa
Kwa mfano, wakiichukua ST> Francis, hizo wani zote zitakuwa four na zero

Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya
 
Basi kila mkoa SErikali ichukue shule moja au Mbili, mfano wataifishe FEZA na Al muntaziri hapo DAr es salaam, Pale Mbeya Wachukue ST FRANCIS , Moshi wachukue Islamiya Jamaa na Kirinjiko Islamic Seminary.
Hizi Al Seminary zichukuliwe.
Shida ni uwezo wa kudimisha standard watakayo ikuta,zaidi watakaopewa jukumu wataona sehemu ya kula kwa urefu wa kamba imepatika.
 
Acha roho mbaya serikali iboreshe za kwake. Una wivu sana
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Kwa logic yako mtu alifanya vizuri zaidi unamzuia ili mambo yaende sawa na wale wanaofanya vibaya? Mbona reasoning ya ajabu sana hii? Ungeshauri sehemu zinazofanya vibaya kujifunza kutoka zile zinazofanya vizuri. Lakini pia Kwa vile watu ni tofauti mambo mengi yanafanywa tofauti pia, na hizi tofauti nitaendelea kuwepo. Let's learn to do better than to be uniform.
 
Kwa mfano, wakiichukua ST> Francis, hizo wani zote zitakuwa four na zero

Hii ndio St. Fransis Girls Mbeya
Haiwezi kuendelea kupata ones peke yake, zitakuwepo 2 mpaka 3 hata 4. Ukitaka jua kuwa hawa wanachukua wanafunzi bora tu, we jaribu kumwandikisha hapo mtoto aliyetoka shule nyingine akiwa na ufaulu wa kawaida sana.
Kuhamia shule za serikali kwa mfano uhitaji interview, but private wanatoa interview ili kutenganisha makapi na mali.
 
Back
Top Bottom