Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Nadhani sio kila Dini ina uwezo wa kuanzisha shule na kuzisimamia vizuri. Dini zingine ziendelee kusonga mbele na injili mengine hawayawezi.
Hizo speaker za wainjilisti si lazma zitengenezwe na aliyekwenda shule?
 
Hawalazimishwi , wanaombwa kujichanganya.
Haya mambo ya wanafunzi kuanza kuvaa vikofia na kujifunika vitambaa na wengine kuvaa misalaba mashuleni ni tatizo tunalo ogopa kulisema.
Nadhani hizo ni mbwembwe tu za dini lakini wapo kwa mujibu wa sheria na kufuata miongozo yote ya ufundishaji kama inavyotakiwa.
 
Hivi kina kitu kinachoitwa Islamic Seminary? Au jamaa walidhani wakiweka neno Seminary brain za wanafunzi zitapanuka?
 
uwe na ufahamu si wote ni wafuasi wa papa, wengine hawamjui papa ni nani na hawamtambui. Jikite kwenye mada
Ungekuwa haumtambui hata hapa ungetofautisha hzo shule zipo za katoliki anglicana Ilan umezijumuisha choko wewe.

Alafu hizi kelele zimekuja baada ya shule mbili tu kufaulisha sio shule zote zina hayo matokeo yalio kufanya uonyeshe chuki zako hadharani
 
Serikali haiwezi kuzichukua na zikabaki vile vile. Hizo shule zinapata ufaulu mkubwa kwa sababu wanachuja wanafunzi sana na kuchukua wale top notch tu. Yani ufaulu wao hautokani tu na kufundisha sana bali pia kuchukua tu wanafunzi wanaojiweza kitu ambacho ni tofauti na shile za serikali.
Serikali inapaswa kuboresha shule zake lakini haiwezi eti kuchikua wanafunzi A class tu wengine ikawatosa
Sema na mitihani wanaiba
 
Ungekuwa haumtambui hata hapa ungetofautisha hzo shule zipo za katoliki anglicana Ilan umezijumuisha choko wewe.

Alafu hizi kelele zimekuja baada ya shule mbili tu kufaulisha sio shule zote zina hayo matokeo yalio kufanya uonyeshe chuki zako hadharani
huo uchoko unaoimba inaelekea we ndio choko conq. Sijui choko ni kitu gani mpuuzi wee! Jikite kwenye hoja
 
Hawalazimishwi , wanaombwa kujichanganya.
Haya mambo ya wanafunzi kuanza kuvaa vikofia na kujifunika vitambaa na wengine kuvaa misalaba mashuleni ni tatizo tunalo ogopa kulisema.
enzi za nyerere hali hii ilififishwwa na kukemewa vikali, ona sasa matokeo yanajionesha wazi
 
Shule Za Dini Ziachwe Ziendelee
Serikali Ikichukua Bado Hao Watu Wa Dini Wakianzisha Chochote Kitanawiri Tu
 
Shule Za Dini Ziachwe Ziendelee
Serikali Ikichukua Bado Hao Watu Wa Dini Wakianzisha Chochote Kitanawiri Tu
sio kila dini ina uwezo wa kuendesha shule, dini zingine ziendelee na abrakadabra zao
 
Enzi za ujamaa na enzi hizi ni tofaut acha ubwabwa wewe
ubwabwa unaujua wewe, dini yako ilikurupuka kuiga uanzishaji shule, ona matokeo yake! Bora muendelee na abrakadabra zenu tu, pelekeni watoto wenu wakasome kwenye shule za dini ile. Wale wanajua kuendesha shule zao. Shule za serikali nazo zipo zinafanya vizuri tu
 
Back
Top Bottom