Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Moja ya Uchawi mkubwa watz waliorogwa ni kudhani serikali ni watumishi wa Serikali.

Ktk nchi yenye utawala wa kidemokrasia maana ya serikali ni Ummah. Ndio maana tunasikia shirika la umma, shule za ummah.

Sasa umma ni nani. Jibu rahisi umma ni sisi wananchi. Unauliza tena je umma una utamaduni mmoja. Jibu hapana. Ummah uko Diversity. Kwa maana tuna tofautiana ktk tamaduni.

tukirudi ktk kanuni moja ya demokrasia ni wengi hutunga sheria.

hata hivyo kwa kipindi kirefu tz zinaendeshwa kama jamii yenye utamaduni mmoja. Matokeo yake wale ambao wanalazimika kufata tamaduni za wengine wanashindwa kuperform.

Nini kifanyike. Kwanza kubadili mfumo wa utawala wa serikali na kuwa na mfumo wa utawala wa serikali za kanda zenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Tukifanikiwa hili wale wasiopenda shule za kidini kwa kuwa zinafaulisha sana ukilinganisha na shule zinazosimamiwa wa watumishi wa umma na kwamba eti badala ya watumishi wa umma kwenda kujifunza kwa shule zinazofanyw vema kama kweli wako na dhamira njema, hawatokuwa na mamlaka za kufikiria kuzitaifisha shule za dini (utakaduni) wa wengine
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
sijui ni kwa nini umewaza kutaifisha shule za dini, wazo la kijinga kabisa kuwahi kulisikia mwaka huu mpya. sikutukani ila kukuambia kuwa umewaza kijinga kunaweza kukusaidia. huu UJINGA wa kufikiria kutaifisha shule aliufanya tu nyerere, hakuna atakayekuja kufanya tena katika hii nchi, milele.

unaposema shule za dini fulani tu ndio zinafanya vizuri, umefanya research hiyo wapi? au unamaanisha shule za dhehebu fulani tu na bila kupepesa macho, dhehebu la katholic. mbona mnawivu sana na hilo dhehebu kwenye elimu? mimi ni mlokole, sio mkatoliki, na ninatofautiana nao kwenye masuala ya imani tu, ila kwenye masuala ya kijamii, nawapongeza sana na ninawaheshimu. hawa ndio wamejenga viongozi wengi sana nchini walau na tanzania inaonekana ina wasomi.

Tanzania kuna dhehebu la SDA/WASABATO, wana shule nyingi tu, ila hazifanyi vizuri. kuna walokole, wana shule kadhaa, na hazifanyi vizuri. kuan lutheran wana shule nyingi sana na hazifanyi vizuri sana, kuna anglican, wana shule na hazifanyi vizuri. hayo ni madhehebu, ukija kwenye dini, kuna waislam, wana shule kadhaa, zingine zinafanya vizuri na zingine hazifanyi vizuri. kuna bahia, wana shule, kuna wahindi wana shule n.k. sasa suala la dini linaingiaje hapo, au unataka kumaanisha dhehebu la catholic? jiulize, kwanini shule za catholics zinafaulisha?

jiulize pia, tangu nchi hii inaze kuwaonea wivu wakatoliki, na kuwapora shule, walishawahi kurudi nyuma? hivi unajua NDANDA, TOSAMAGANGA, KIGONSERA, TABORA BOYS,KAHENGESA, MAZENGO, n.k zote zilikuwa za katholic, serikali ikazinyang'anya na zimekuwa za kawaida tu. wakatoliki walijenga kwa sadaka sio kwa pesa za serikali.

ubongo wa kutaifisha shule, ni ubongo mdogo sana na ni bahati mbaya kuna watu wana mawazo hayo bado hadi leo.

1. Uhuru wa Kidini: hii hoja ni mfu.

2. Ubora wa Elimu: ishauri serikali iboreshe mishahara, usimamizi wa shuel zake, pia shule za waislam muwashauri waache longolongo ya kukazania dini ya kitabu, na kufundisha ujahidina, wawe serious kwenye masomo, waache soga za kusadikika.

3. Haki na Usawa: sijui usawa gani unaongelea, shule hizo kuna watoto wa dini zote. pia, unataka kumvuta shati mtu mwenye bidii ili aendane na mtu mvivu na mzembe na asiye serious kwenye masuala ya msingi? akili ya wapi hiyo.

4. Ushirikiano na Sera Bora: serikali haina uwezo kutoa fursa kwa shule za dini, hawaihitaji serikali kwanza, na fursa sawa kwa wote ipo, shule za walutheran nyingi sana wanasoma hadi waislam, hata za katholic, hadi waislam. cha kujiuliza, kwanini kuna semainary za kiislam pure ambazo hushika mkia tu? pia, kama dini ni shida kwako, mbona zanzibar anakotoak yule boss wenu wa balaza la mitihani, ni waislam shule nzima na serikali ni ya kiislam ya kibaguzi kabisa, ila hushika mkia kila mwaka, jiulizeni na mjijibu.

acheni uvivu, fanyeni kazi, jalini elimu badala ya kuja hapa kulalamika na kusambaza chuki kwa wakatoliki wanaojitahidi sana kusimamia shule,. mmewavuta wakatoliki shati sana, walijenga shule zao nyingi mkawanyang'anya ili tuwe sawa, matokeo yake ndio kama mlimpiga teke chura. hakuna anayewazuia waislam au watu wa madhehebu mengine kujenga shule na kusimamia. uvivu wenu tu. na pia, sadak ahizi ndio zinajenga shule, sio hela ya serikali, kwa hiyo msiwapangie wakatoliki.
 
Sasa kama shule zingine za dini zinafundisha karate ulitegemea kuwe na usawa katika ufaulu? Nyingine zina ratiba ya kwenda kusali mara tano kwa siku, mtasoma saa ngapi?!!

Hizo shule za dini zilizofeli zinapaswa kwenda kuiga mfano kwa zilizofaulu na siyo kufungia, hiyo siyo solution.
 
Mtu ana feli kwa kusali? Wote wanao sali mara tano wanafeli?

Karate, football, netball, judo, ni sehemu ya michezo au shule uliyo soma ilikuwa haina uwanja wa mpira? Volleyball?
 
Michezo na Dini haviathiri chochote kwenye elimu. Hata hizo shule zilizofaulu zina hizo ratiba pia, cha muhimu kila jambo liwe na muda wake.
 
“Nyingine zina ratiba ya kwenda kusali mara tano kwa siku, mtasoma saa ngapi?!!”

Kwahyo umerekebisha kauli yako na tu focus sana kwenye aina ya mifumo ya elimu tukiondoa udini, chuki, wivu?
 
Siyo kuondoa dini au kusali. Kuwepo pale pale lakini ratiba za kidini zisiathiri wala kuingilia ratiba za kusoma.
Ni jambo la kupanga muda, na kila jambo liwe na wakati wake specific na uheshimiwe.
 
Nikurekebishe kaka ,Seminary si kwa ajili ya wanao somea upadre tu, anaenda yoyote. Tuna viongozi nchi hii wenfi tu ni wa seminary, tena wengine si wakatoliki.

Binafsi nikiwemo
Kama ulisomea seminary kama seminary yenye rector kama mkuu wa shule then ilikua unakomumika vipi? Maana kule ni lazima uhudhurie kanisani kila siku na kujumuika meza ya Bwana. Ulifanyeje?
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
Nimesoma post hii lakn cjaelewa kitu, maana story inapendekeza hivi Kisha inarudi vile, sasa kipi ni kipi sijui. Labda siwezi kisoma. Ngoja nisome post za wenzangu huenda nikaambulia kitu.
 
kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotoka 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini ukiingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?

Hapa kuna hoja muhimu:

1. Uhuru wa Kidini: Katiba ya Tanzania inaheshimu uhuru wa dini. Kutaifisha shule za kidini kwa sababu ya matokeo yao ya kitaaluma kunaweza kuchukuliwa kama ukiukwaji wa uhuru huu tu.

2. Ubora wa Elimu: Mafanikio ya shule yanatokana na mambo mengi, kama vile usimamizi bora, walimu wenye sifa, nidhamu, na rasilimali. Badala ya kutaifisha, serikali inaweza kujifunza na kuboresha shule nyingine kwa kuiga mifano bora kutoka shule zinazofaulu.

3. Haki na Usawa: Kutaifisha shule za kidini kunaweza kusababisha mgawanyiko wa kijamii na malalamiko kutoka kwa dini husika. Ni vyema kuweka usawa kwa kushirikiana na taasisi zote za kidini badala ya kuziondoa umiliki.

4. Ushirikiano na Sera Bora: Serikali inaweza kushirikiana na shule za kidini kwa kuweka sera zinazoweka usawa wa fursa kwa wanafunzi wote bila kuingilia umiliki wa shule hizo.

MDAU MMOJA KIJIWE cha kahawa hapa Posta Mtaa wa Mkwepu anasema badala ya kutaifisha shule, serikali inapaswa kuimarisha mfumo wa elimu kwa ujumla na kushirikiana na taasisi zote kwa njia ya usawa ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya elimu bora.
vijana wa siku hizi ni zero brain, hii nayo ni hoja?
 
Kwani makubadhi wamezuiliwa na nani kuboresha shule zao?
 
Kubinafsisha hapana... Taasisi nyingi tu Zina shule mbali na hizi za kidini. Nafikiri taasisi na serikali wakajifunze mbinu kutoka kwao kwa manufaa mapana ya taifa.
 
Kutoka Wikipedia:

A seminary, school of theology, theological college, or divinity school is an educational institution for educating students (sometimes called seminarians) in scripture and theology, generally to prepare them for ordination to serve as clergy, in academics, or mostly in Christian ministry.

The English word is taken from Latin: seminarium, translated as 'seed-bed', an image taken from the Council of Trent document Cum adolescentium aetas, 'Since the age of adolescence' which called for the first modern seminaries.
Ukaamua uende wikipedia ambapo unahisi kuna unafuu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-01-24-14-49-43-179.jpg
    Screenshot_2025-01-24-14-49-43-179.jpg
    212.6 KB · Views: 3
sijui ni kwa nini umewaza kutaifisha shule za dini, wazo la kijinga kabisa kuwahi kulisikia mwaka huu mpya. sikutukani ila kukuambia kuwa umewaza kijinga kunaweza kukusaidia. huu UJINGA wa kufikiria kutaifisha shule aliufanya tu nyerere, hakuna atakayekuja kufanya tena katika hii nchi, milele.

unaposema shule za dini fulani tu ndio zinafanya vizuri, umefanya research hiyo wapi? au unamaanisha shule za dhehebu fulani tu na bila kupepesa macho, dhehebu la katholic. mbona mnawivu sana na hilo dhehebu kwenye elimu? mimi ni mlokole, sio mkatoliki, na ninatofautiana nao kwenye masuala ya imani tu, ila kwenye masuala ya kijamii, nawapongeza sana na ninawaheshimu. hawa ndio wamejenga viongozi wengi sana nchini walau na tanzania inaonekana ina wasomi.

Tanzania kuna dhehebu la SDA/WASABATO, wana shule nyingi tu, ila hazifanyi vizuri. kuna walokole, wana shule kadhaa, na hazifanyi vizuri. kuan lutheran wana shule nyingi sana na hazifanyi vizuri sana, kuna anglican, wana shule na hazifanyi vizuri. hayo ni madhehebu, ukija kwenye dini, kuna waislam, wana shule kadhaa, zingine zinafanya vizuri na zingine hazifanyi vizuri. kuna bahia, wana shule, kuna wahindi wana shule n.k. sasa suala la dini linaingiaje hapo, au unataka kumaanisha dhehebu la catholic? jiulize, kwanini shule za catholics zinafaulisha?

jiulize pia, tangu nchi hii inaze kuwaonea wivu wakatoliki, na kuwapora shule, walishawahi kurudi nyuma? hivi unajua NDANDA, TOSAMAGANGA, KIGONSERA, TABORA BOYS,KAHENGESA, MAZENGO, n.k zote zilikuwa za katholic, serikali ikazinyang'anya na zimekuwa za kawaida tu. wakatoliki walijenga kwa sadaka sio kwa pesa za serikali.

ubongo wa kutaifisha shule, ni ubongo mdogo sana na ni bahati mbaya kuna watu wana mawazo hayo bado hadi leo.

1. Uhuru wa Kidini: hii hoja ni mfu.

2. Ubora wa Elimu: ishauri serikali iboreshe mishahara, usimamizi wa shuel zake, pia shule za waislam muwashauri waache longolongo ya kukazania dini ya kitabu, na kufundisha ujahidina, wawe serious kwenye masomo, waache soga za kusadikika.

3. Haki na Usawa: sijui usawa gani unaongelea, shule hizo kuna watoto wa dini zote. pia, unataka kumvuta shati mtu mwenye bidii ili aendane na mtu mvivu na mzembe na asiye serious kwenye masuala ya msingi? akili ya wapi hiyo.

4. Ushirikiano na Sera Bora: serikali haina uwezo kutoa fursa kwa shule za dini, hawaihitaji serikali kwanza, na fursa sawa kwa wote ipo, shule za walutheran nyingi sana wanasoma hadi waislam, hata za katholic, hadi waislam. cha kujiuliza, kwanini kuna semainary za kiislam pure ambazo hushika mkia tu? pia, kama dini ni shida kwako, mbona zanzibar anakotoak yule boss wenu wa balaza la mitihani, ni waislam shule nzima na serikali ni ya kiislam ya kibaguzi kabisa, ila hushika mkia kila mwaka, jiulizeni na mjijibu.

acheni uvivu, fanyeni kazi, jalini elimu badala ya kuja hapa kulalamika na kusambaza chuki kwa wakatoliki wanaojitahidi sana kusimamia shule,. mmewavuta wakatoliki shati sana, walijenga shule zao nyingi mkawanyang'anya ili tuwe sawa, matokeo yake ndio kama mlimpiga teke chura. hakuna anayewazuia waislam au watu wa madhehebu mengine kujenga shule na kusimamia. uvivu wenu tu. na pia, sadak ahizi ndio zinajenga shule, sio hela ya serikali, kwa hiyo msiwapangie wakatoliki.
Tabora boys na girls hazikua za kanisa,acha uwongo,tumejenga wanyamwezi wenyewe chini ya machifu wetu
 
Back
Top Bottom