Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

daahh hii coment imenichekesha san
 
Mbaya hiyo meseji unaweza tumia hadi usiyehusika na kubatizwa jina la mdhamini 😂😂
 
Hahaha dah
 
Asee kumbe hao jamaa ni pumbaff kias iko, ndo mana ivo vi app ckuiz vimekuwa vingi kweli
 
Unapoweka namba za wadhamin weka namba ambazo hazipatikani au zimefungiwa.

Hao jamaa kipind nikiwa nimepigika nilishawaliza sana
Hio sio Suluhu, Njia sahihi Kuto ALLOW apps zao ku access your contacts list. Uki Allow app ya mkopo ku access your contact list atapigiwa mpaka Baba mkwe wako aambiwe umetapeli tshs. 18,000/ mtandaoni. Hivyo Kuwa makini na Hiko Kipengele next time.
 
Hio sio Suluhu, Njia sahihi Kuto ALLOW apps zao ku access your contacts list. Uki Allow app ya mkopo ku access your contact list atapigiwa mpaka Baba mkwe wako aambiwe umetapeli tshs. 18,000/ mtandaoni. Hivyo Kuwa makini na Hiko Kipengele next time.
Usipo allow hawakupi mkopo
 
Hawa hawakwepeki,ukikopa lazima utalipa deni. Siyo kama wale Tala na Branch wa siku za nyuma
 
Wanazingua sana,kuna Kampuni Moja hiyo nilipata Dharura nikakopa Elfu 51, afu nikapewa 30 ndani wiki Moja , faida ya Elfu 21 kwa wiki , riba ni zaidi ya 48%.

Kabla ya siku Moja kufika nikalipa hela yao, ila kwenye app yao deni halikutoka likawa linaongezeka, aisee jamaa wanapiga simu na meseji za vitisho balaa.

Nimefuta na App yao kabisa , Mikopo Nyonya damu ,
 
Baada ya kufuta app Yao hawakupigii sim?
 
Walinitumiaga msg wanamdai jamaa mmoja hv, nikawauliza mbona mlipomkopesha hamkunishirikisha, asa hv mnamdai ndio mnanisumbua, mkome!
 
Hivi Hawa wakopeshaji wsmeshawahi kumpeleka MTU asiyelipa mahakamani?
Asking for a JF friend..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…