Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
 
Kwani wenye simu za bei kubwa/smart wapo wangapi nchi hii ?
 
Si tulikubaliana kwamba kufanya kazi serikalini ni utumwa, sasa upendeleo umetoka wapi?
 
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwama mwezi?
Duh unafikia hitimisho kizembe sana,nimesoma heading to nikajua ulicho kiandika ni upupu,hebu jaribu kupitia bei ya vifurushi nya nhif kwa individuals uone ni watanganyika wangapi wanaweza himili.
 
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Kwenye umeme na maji tunachangia kupitia Nida! Hao kila mtu umewatoa wapi! Nijuavyo ni wale tu wenye mita husika hulipia na si kuchangia. Ushauri wangu kwako ikiwa imekupendeza tulipie hiyi bima nasi tutakushukuru sana mara arobaini, au hiyo 3℅ tulipe sisi na 3℅ tulipie kama wafanyavyo serikalini.

Kichaa mwingine kaibuka au kalala na njaa mawazo yaksmuijia, njaa ya jitandsni nayo mbaya!
 
Kwani wenye simu za bei kubwa/smart wapo wangapi nchi hii ?

Nimetolea mfano ,usiulize swali tu kwa kuwa unaswali jiongeze toa ushauri wako pia, sidhani hata wewe unaweza kujua idadi yao ungeweza kisema tu wanaomiliki somu haijalishi smart au kiswaswadu au NHIF iwekwe kwenye vocha ,pombe,bangi,tiketi,betting,cassino,nk.

Uwe unajiongeza usisubiri kila kitu utafuniwe bwana!!
 
Kwenye umeme na maji tunachangia kupitia Nida! Hao kila mtu umewatoa wapi! Nijuavyo ni wale tu wenye mita husika hulipia na si kuchangia. Ushauri wangu kwako ikiwa imekupendeza tulipie hiyi bima nasi tutakushukuru sana mara arobaini, au hiyo 3℅ tulipe sisi na 3℅ tulipie kama wafanyavyo serikalini.

Kichaa mwingine kaibuka au kalala na njaa mawazo yaksmuijia, njaa ya jitandsni nayo mbaya!
Mimi na wewe unadhani kichaa ni nani?

Mimi nimeleta ujinga wangu humu sasa wewe kwanini usilete huo welevu wako humu?

Vocha,maji,umeme,choo,nk nakulipia mimi?ni mawazo mangapi yanapelekwa bungeni na kijadiliwa kwa mawazo ya kila mtu je wote wanaopeleka ni wajinga??

Siyo kila mada inayoletwa humu lazima inakuhusu angalia za upeo wako mjinga wewe.

Kupitia huu unaosema ujinga wapo ambao watatoa mawazo mazuri tu juu ya hili,omba yasikukute kwenye kuuguza na uwe huna uwezo kifedha kama ambavyo huna AKILI.
 
Bima ya Afya kwa wote ndio suluhu ya afya nchini.
Mhe.Rais ameshamaliza hatua yake nashangaa sana wasaidizi wake wanavyozorota kukamilisha utekelezaji
 
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF
NIDA ni huduma ya bure wakati NHIF inahitaji malipo. Ulitakiwa uonyeshe malipo ya NHIF yatafanyokaje kwa mtu aliyelazimishwa kujiunga na bima hiyo
 
Duh unafikia hitimisho kizembe sana,nimesoma heading to nikajua ulicho kiandika ni upupu,hebu jaribu kupitia bei ya vifurushi nya nhif kwa individuals uone ni watanganyika wangapi wanaweza himili.
Watu sijui huwa wanawaza nini aisee eti kulipia matibabu iwe lazima daah kwa kipato cha Watanganyika si hatari hiyo..
 
Mimi na wewe unadhani kichaa ni nani?

Mimi nimeleta ujinga wangu humu sasa wewe kwanini usilete huo welevu wako humu?

Vocha,maji,umeme,choo,nk nakulipia mimi?ni mawazo mangapi yanapelekwa bungeni na kijadiliwa kwa mawazo ya kila mtu je wote wanaopeleka ni wajinga??

Siyo kila mada inayoletwa humu lazima inakuhusu angalia za upeo wako mjinga wewe.

Kupitia huu unaosema ujinga wapo ambao watatoa mawazo mazuri tu juu ya hili,omba yasikukute kwenye kuuguza na uwe huna uwezo kifedha kama ambavyo huna AKILI.
Unaweza ukawa na bima na bado ukashindwa kupata huduma, bima yetu ni patapotea.
 
Kwanza wananchi wawe na hiyo bima badae ndiyo tuangalieapungufu ,na inawezekana kabisa kama viongozi watatakiwa pia kuwa na bima sawa na wananchi kisiwe na ubaguzi hii itawafanya viongozi waiboreshe kwani kwa sasa viongozi hawajali kwakuwa wao wanahisa kwenye makampuni mengi ya bima za afya wanakula kamishaeni tu na wanalipiwa na serikali huko jubilee,diamond,strategy,nk.

Tatizo ni kuto kuwawajibisha viongozi kwa hili wanpotanguliza siasa na maslahi yao badala ya maslahi ya Taifa na wananchi.
 
Watu sijui huwa wanawaza nini aisee eti kulipia matibabu iwe lazima daah kwa kipato cha Watanganyika si hatari hiyo..
Achana nae mpuuzi mmoja hivi, kaangalia angle moja tu. Kuna watu wanakaa hadi miaka mitano bila kuugua chochote, unamlazimishaje alipie elfu 30 kila mwezi!?,wapo watu kibao hata simu za tochi hawana ,wataweza kulipa elfu 30 kila mwezi!?, Kuna watu wanapenda sana kukurupuka na kuanzisha thread.
 
Watu sijui huwa wanawaza nini aisee eti kulipia matibabu iwe lazima daah kwa kipato cha Watanganyika si hatari hiyo..
Kwani unapoenda hospitali huwa unatibiwa bure au unalipa kwa hiari kama siyo kulipa kwa lazima lazima??
Kondomu,birthday,harusi,kipaimara,pombe taka,kuhonga,mapenzi,sadaka,zaka,nk mnapata hela za kulipia bima ya afya kwanini mshindwe?

Acha upumbavu na uzembe wa kufikiri.
 
Nimetolea mfano ,usiulize swali tu kwa kuwa unaswali jiongeze toa ushauri wako pia, sidhani hata wewe unaweza kujua idadi yao ungeweza kisema tu wanaomiliki somu haijalishi smart au kiswaswadu au NHIF iwekwe kwenye vocha ,pombe,bangi,tiketi,betting,cassino,nk.

Uwe unajiongeza usisubiri kila kitu utafuniwe bwana!!
Ngoja kwanza fedha zitumike kwenye kununua magoli ya mechi za mpira, kujenga majumba ya wana CCM na kugahramia maisha yao ya kifahari. Maisha ya wananchi yangekuwa na umuhimu wangejipigania wao wenyewe.
 
NIDA ni huduma ya bure wakati NHIF inahitaji malipo. Ulitakiwa uonyeshe malipo ya NHIF yatafanyokaje kwa mtu aliyelazimishwa kujiunga na bima hiyo
Nida siyo bure ni kwakuwa hujui unailipia vipi.

Hakuna kitu au huduma yoyote ile unayopewa mwananchi bure hapa Afrika lazima umeilipia wewe au mwingine kupitia kodi na malipo mbalimbali ya huduma unazopewa na serikali,jiongeze na uache ujinga wa kutofikiri nje ya boksi.
Mfanyabiashara analipa kodi akiuza bidhaa,mtumishi analipa kodi akilipwa mshahara,mkulima analipa kodi anapouza mazao au kununua vifaa vya kilimo na pembejeo,nk kwani kuna VAT ktk bila bidhaa inatozwa kwa MLAJI ambaye ni MWANANCHI.

JIONGEZE ACHA UJINGA!!
 
  • Dislike
Reactions: K11
Kuna makampuni mangapi ya bima mpaka ulazimishe NHIF. Angalau useme raia awe na bima ndogo kama ilivyo kwa third party kwenye magari
 
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Huu ushauri wako una walakini mkubwa kumbuka kuna wanaotumia bima za makampuni mengine, kuna wenye hela zao wakiumwa cash zinalipwa tena millions, sasa kwa nini ulazimishe watu wote watumie NHIF?
Haya ni mawazo ya kikomunisti yenye lengo la kuiongezea NHIF mzpato kilazima.
Hao walioajiriwa serikalini wakichangia NHIF ni sawa tu ni arrangement kati yao na mwajiri wao lakinini kulazimisha eti na wengine wachangie ni uonevu mkubwa tena sana.
 
Back
Top Bottom