Tatizo hukuja kutaka kuelewa ni vipi mtu atalazimishwa kulipia NHIF na wala hutaki kujiongeza kabisa.
NHIF inaweza kulipiwa moja kwa moja au kwa niaba bwana.
Serikali kama inatoza ada/kodi kwenye kuingia stendi,ewura,rea,nk onashindwa nini kutoza kodi kwaajili ya NHIF kwenye betting,pombe,kondomu,mabasi,baa,gest,magari,pikipiki,simu,nk na hasahasa kwenye mabo yote ya anasa na yasiyo ya lazima kwa maisha yetu,mbona watumishi wanakatwa NHIF kwenye mishahara yao na serikali inawachangia pia kitu ambacho ni UBAGUZI na kama wananchi wote wakiwa na NHIF basi watumishi mao hawatakatwa kwenye mishahara yao bali watalipia indirectly kitu ambacho wananchi wote watakuwa sawa ktk hadhi ya NHIF atakayetaka matibabu private atalipia yeye mwenyewe kwa mfuko wake.
Hili la NHIF lonawezekana kabisa tatizo ni kutokuwa serious kwa wananchi na viongozi kuna njia nyingi tu za kuchangia