Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Kwahiyo sifa mojawapo ya kuwa na bima ni "Kumiliki smartphone ya bei ghali"??

Hapa wazazi wako mkeka wao umechanika
 
Nida siyo bure ni kwakuwa hujui unailipia vipi.

Hakuna kitu au huduma yoyote ile unayopewa mwananchi bure hapa Afrika lazima umeilipia wewe au mwingine kupitia kodi na malipo mbalimbali ya huduma unazopewa na serikali,jiongeze na uache ujinga wa kutofikiri nje ya boksi.
Mfanyabiashara analipa kodi akiuza bidhaa,mtumishi analipa kodi akilipwa mshahara,mkulima analipa kodi anapouza mazao au kununua vifaa vya kilimo na pembejeo,nk kwani kuna VAT ktk bila bidhaa inatozwa kwa MLAJI ambaye ni MWANANCHI.

JIONGEZE ACHA UJINGA!!
Uliilipa shilingi ngapi serikali kukupatia Namba/Kitambulisho cha nida?
 
Tatiz
Tatizo unalinganisha usasa na uzamani hapo ndipo mnaleta ujinga kwenye swala la NHIF.

Bima ya NHIF ni kuchangiana matibabu kwa
Wewe huwezi ukajaji kioato cha Watanzania bwana,kipato cha kila
mwananchi hukijui unajua kipato chako acha uongo na lazima utambue kwamba bima ya NHIF siyo lazima ichangiwe directly hata indirectly na pia ni KUCHANGIANA ANAYEUMWA MA ASIYEUMWA kwa mtu mmoja mmoja michango yake haiwezi kumtibu.

Nakushambulia kwasababu unaleta UJINGA kwenye jambo la msingi,elewa NHIF ni mpango wa KUCHANGIANA GHARAMA ZA MATIBABU KWA TAIFA ZIMA anayeumwa atasaidiwa na michango ya ASIYEUMWA.

INABIDI TUWE WAKALI SASA!!
Zamani ipi hiyo bima ya 50400 ilifutwa lini hiyo? Na hiyo chf iliyoboreshwa??na kwenye hili wala sio inshu ya umasikini bali ni ujinga tu wa wananchi wenyewe
 
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
kwann usingewaza serikali tunayoipa kodi katika kila bidhaa na shughuli mbalimbali inashindwaje kufanya matibabu bure kwa wananchi wake?
 
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.

Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.

Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.

Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Wenye bima wenyewe wanaambiwa madawa hakuna wakanunue tafadhari mtuache nchi hii haijawahi kuwa perfect kwa jambo lolote,kila kitu kimekaa kitapeli ,kiwizi na kihuni
 
Ili bima iwe kwa wote, kunatakiwa kuwepo na mazingira toshelezi kwenye hospitali na zahanati zetu, kuanzia vifaa tiba, madawa, wahudumu n.k
Kama kwa sasa mazingira si toshelezi, ata bima ikiwa bure kwa wote, huduma itazidiwa na tutarudi palepale kwenye changamoto.​
Watu watibiwe bure bima ya nini?
 
unapotoa mada je unaweza kujibu hoja usije ukaonekana kituko mfano kama huu
Swali lako ni muhimu sana: Kwa nini watu wa kipato cha chini (wanaoishi kwenye uchumi usio rasmi – “wana bima ta afya”) nchini Bangladesh hawana bima ya afya? Hili ni tatizo linalokumba pia nchi nyingi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na zambia. Hapa kuna sababu kuu:


🤔 Sababu Kuu Kwa Nini Watu wa Kipato cha Chini nchini Bangladesh Hawana Bima ya Afya:

1. 🏦 Kutokuwa na Uwezo wa Kifedha (Umaskini)


• Watu wengi hawawezi kumudu malipo ya bima ya afya, hata kama ni ya gharama nafuu.


• Wanapendelea kutumia fedha zao kwa mahitaji ya msingi kama chakula na makazi kuliko kwa huduma za afya ya baadaye.

2. 📚 Uelewa Mdogo kuhusu Faida za Bima ya Afya


• Watu wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu namna bima ya afya inavyofanya kazi na faida zake.


• Kuna dhana potofu kwamba ni kwa matajiri au kwa wafanyakazi wa serikali tu.


3. ⚖️ Sekta Isiyo Rasmi (Informal Sector)

• Wengi wao hufanya kazi zisizo rasmi (vibarua, wajasiriamali wadogo), hivyo si sehemu ya mfumo rasmi wa ajira unaowezesha mtu kupata bima kupitia waajiri.


• Hali hii huwafanya wabaki nje ya mifumo ya hifadhi ya jamii na bima.

4. 🏢 Upatikanaji Mdogo wa Huduma za Bima ya Afya kwa Umma


• Huduma za bima ya afya zilizo rasmi haziwafikii watu wa vijijini au walio katika sekta isiyo rasmi.


• Mfumo wa afya wa serikali hauna miundombinu ya kutosha kuwafikia watu wote.

5. 💼 Ukosefu wa Sera Madhubuti za Serikali (au Utekelezaji Hafifu)


• Ingawa Bangladesh ina sera za afya, utekelezaji wake kwa wananchi wa kipato cha chini ni mdogo.


• Mfumo wa bima ya afya ya umma bado uko kwenye hatua za awali za maendeleo.

6. 🤝 Kukosa Imani kwa Taasisi za Bima
• Baadhi ya watu hawana imani na mashirika ya bima kutokana na uzoefu mbaya au kutolipwa fidia wanapodai.

• Hii huwafanya waogope kujiunga na mifumo ya bima.

🌍 Mfano wa Mifumo Inayofanya Kazi:

Nchini Rwanda, serikali ilianzisha Community-Based Health Insurance (CBHI) inayowawezesha hata maskini kuchangia kiasi kidogo na kupata huduma za afya – mfumo huu umepunguza matatizo ya kiafya na kifedha kwa wengi.

✅ Hitimisho:
Watu wengi wa kipato cha chini nchini Bangladesh hawana bima ya afya kwa sababu ya umaskini, ukosefu wa elimu, kutokuwa kwenye ajira rasmi, miundombinu duni ya bima, na ukosefu wa imani katika taasisi.
 
Ukiwa mtumishi ndio lazima ukatwe hiyo, ni takwa la kazi.
 
Back
Top Bottom