NHIF ilishajifia kitambo hapo inatafutwa namna ya kuiokoa kwa kulazimisha wasio na hatia eti wachangie kuiokoa yaani serikali iikope, NHIF itafune fedha, ila kila mtu achangishwe kinguvu kuiokoa hii BIG no.Kuna makampuni mangapi ya bima mpaka ulazimishe NHIF. Angalau useme raia awe na bima ndogo kama ilivyo kwa third party kwenye magari
Tatizo hukuja kutaka kuelewa ni vipi mtu atalazimishwa kulipia NHIF na wala hutaki kujiongeza kabisa.NIDA ni huduma ya bure wakati NHIF inahitaji malipo. Ulitakiwa uonyeshe malipo ya NHIF yatafanyokaje kwa mtu aliyelazimishwa kujiunga na bima hiyo
Iimarike wapi wakati serikali kutwaa inaitafuna? na staff wake wanaifuja?Last time NHIF yenyewe ilikuwa taabani,imeimarika?
Hili ndilo tatizo ambalo wananchi wanashindwa kupogana nalo hasa watu wanakalia ujinga tu kuwa haiwezekani wakati pesa zipo kabisa zinatumika vibaya huwezi ukawa na mapinduzi ya KISIASA kabla ya mapinduzi ya HUDUMA ZA KIJAMII i.e:maji,afya na elimu rasmi.Ngoja kwanza fedha zitumike kwenye kununua magoli ya mechi za mpira, kujenga majumba ya wana CCM na kugahramia maisha yao ya kifahari. Maisha ya wananchi yangekuwa na umuhimu wangejipigania wao wenyewe.
Kwa nini ulazimishe wananchi wote watumie NHIF kana kwamba kampuni ya Bima ya afya ni moja tu?Tatizo hukuja kutaka kuelewa ni vipi mtu atalazimishwa kulipia NHIF na wala hutaki kujiongeza kabisa.
NHIF inaweza kulipiwa moja kwa moja au kwa niaba bwana.
Serikali kama inatoza ada/kodi kwenye kuingia stendi,ewura,rea,nk onashindwa nini kutoza kodi kwaajili ya NHIF kwenye betting,pombe,kondomu,mabasi,baa,gest,magari,pikipiki,simu,nk na hasahasa kwenye mabo yote ya anasa na yasiyo ya lazima kwa maisha yetu,mbona watumishi wanakatwa NHIF kwenye mishahara yao na serikali inawachangia pia kitu ambacho ni UBAGUZI na kama wananchi wote wakiwa na NHIF basi watumishi mao hawatakatwa kwenye mishahara yao bali watalipia indirectly kitu ambacho wananchi wote watakuwa sawa ktk hadhi ya NHIF atakayetaka matibabu private atalipia yeye mwenyewe kwa mfuko wake.
Hili la NHIF lonawezekana kabisa tatizo ni kutokuwa serious kwa wananchi na viongozi kuna njia nyingi tu za kuchangia
Kama wewe mwenyewe unawaangalia tu huchukui hatua unadhani nani atawakanya au atakomesha UBADHIRIFU na URASIMU wao.Iimarike wapi wakati serikali kutwaa inaitafuna? na staff wake wanaifuja?
Watanzania ni viumbe wa ajabu sana duniani!!na watapata shida sana hadi mwisho wa maisha yao!!kwani ile bima ya afya kwa watoto ya 50,400 kwa mwaka kabla haijafutwa watoto waliokuwa nayo Tz nzima hawakugika hata laki 3!!hapo kuna nini?!!ile iliyo kuwa ikiitwa CHF ya 30,000 kwa mwaka kwa watu 6 ni wangapi walikuwa nayo?!!Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.
Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.
Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Wanaochangia wamebweteka tu kuutwa kusifu na kuabudu na mapambio ya kuunga mkono magoli ya mama, mti wa mama, kitumbua cha mama halafu mimi ambaye si mchangiaji niende front kuwapambania?Kama wewe mwenyewe unawaangalia tu huchukui hatua unadhani nani atawakanya au atakomesha UBADHIRIFU na URASIMU wao.
Viongozi wa vyama vya UPINZANI wanashabikia SIASA kwaajili ya FAMILIA na MATUMBO yao hakuna mpinzani anayezungumzia swala la NHIF kwa uchungu zaidi kutaka KATIBA na UBWABWA si vinginevyo
Mkuu mbona unanishambulia nimeangalia kipato cha Watanzania sijamaanisha kuwa mimi nina shida na hizo Bima pia Bima niliyokua nayo huku SA sidhani kama unaweza hata kuigusa maana Bima ya Afya unaikatia Bima tena naposafiri hata nikiwa USA sijui Tanzania, Zambia natibiwa kwa hii kadi na haina kiwango cha fedha maana debeers walikua wanatukata hela nyingi sana..hapa SA hata usipokua na Bima kwa mgeni unaweza kwenda kutibiwa na ukaandikiwa deni ukatoka utakapoenda mara ingine unakumbushwa ulipie hata kidogo ya deni la nyuma kwa hospital za Serikali kwa raia wao wanafanya gharama sawa na bure ni kidogo saana wanachangia tena sio wakati huo huo kitambulisho ni Bima tosha..Kwani unapoenda hospitali huwa unatibiwa bure au unalipa kwa hiari kama siyo kulipa kwa lazima lazima??
Kondomu,birthday,harusi,kipaimara,pombe taka,kuhonga,mapenzi,sadaka,zaka,nk mnapata hela za kulipia bima ya afya kwanini mshindwe?
Acha upumbavu na uzembe wa kufikiri.
Tatizo unalinganisha usasa na uzamani hapo ndipo mnaleta ujinga kwenye swala la NHIF.Watanzania ni viumbe wa ajabu sana duniani!!na watapata shida sana hadi mwisho wa maisha yao!!kwani ile bima ya afya kwa watoto ya 50,400 kwa mwaka kabla haijafutwa watoto waliokuwa nayo Tz nzima hawakugika hata laki 3!!hapo kuna nini?!!ile iliyo kuwa ikiitwa CHF ya 30,000 kwa mwaka kwa watu 6 ni wangapi walikuwa nayo?!!
Wewe huwezi ukajaji kioato cha Watanzania bwana,kipato cha kilaMkuu mbona unanishambulia nimeangalia kipato cha Watanzania sijamaanisha kuwa mimi nina shida na hizo Bima pia Bima niliyokua nayo huku SA sidhani kama unaweza hata kuigusa maana Bima ya Afya unaikatia Bima tena naposafiri hata nikiwa USA sijui Tanzania, Zambia natibiwa kwa hii kadi na haina kiwango cha fedha maana debeers walikua wanatukata hela nyingi sana..hapa SA hata usipokua na Bima kwa mgeni unaweza kwenda kutibiwa na ukaandikiwa deni ukatoka utakapoenda mara ingine unakumbushwa ulipie hata kidogo ya deni la nyuma kwa hospital za Serikali kwa raia wao wanafanya gharama sawa na bure ni kidogo saana wanachangia tena sio wakati huo huo kitambulisho ni Bima tosha..
Uwe unaenda hata hospital mara moja moja kuwasaidia watu mimi naishi Arusha huwa naona changamoto za Watanzania wengi kwenye matibabu shida yenu mkipata visenti kidogo mnadhani Watanzania wote wanaweza kumudu hizo gharama pana watu wanakufa Tanzania kwa kukosa matibabu sahihi wewe unasema hauwezi kujua kipato cha Watanzania wote...Tatiz
Tatizo unalinganisha usasa na uzamani hapo ndipo mnaleta ujinga kwenye swala la NHIF.
Bima ya NHIF ni kuchangiana matibabu kwa
Wewe huwezi ukajaji kioato cha Watanzania bwana,kipato cha kila
mwananchi hukijui unajua kipato chako acha uongo na lazima utambue kwamba bima ya NHIF siyo lazima ichangiwe directly hata indirectly na pia ni KUCHANGIANA ANAYEUMWA MA ASIYEUMWA kwa mtu mmoja mmoja michango yake haiwezi kumtibu.
Nakushambulia kwasababu unaleta UJINGA kwenye jambo la msingi,elewa NHIF ni mpango wa KUCHANGIANA GHARAMA ZA MATIBABU KWA TAIFA ZIMA anayeumwa atasaidiwa na michango ya ASIYEUMWA.
INABIDI TUWE WAKALI SASA!!
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.
Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.
Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Kuna jirani yangu hapa mwaka jana kamkatia bima mzee wake ilikuwa kama 270k hivi, mwezi uliopita kaenda kulipia anaambia sasa hivi ni 540k.Duh unafikia hitimisho kizembe sana,nimesoma heading to nikajua ulicho kiandika ni upupu,hebu jaribu kupitia bei ya vifurushi nya nhif kwa individuals uone ni watanganyika wangapi wanaweza himili.
NHIF ni bima, na bima yoyote ile duniani inahusisha kutoa mchango kabla ya janga. Bima sio huduma, hivyo haiwezi ikatokana na kodi bali mchango wa moja kwa moja kutoka kwa mtejaSerikali kama inatoza ada/kodi kwenye kuingia stendi, ewura, rea, nk onashindwa nini kutoza kodi kwa ajili ya NHIF kwenye betting, pombe, kondomu, mabasi, baa, gest, magari, pikipiki, simu, nk na hasahasa kwenye mabo yote ya anasa na yasiyo ya lazima kwa maisha yetu,
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya afya ya NHIF siyo serikali kuweka upendeleo kwa watumishi wa serikali tu ambao wanakatwa 3% ya mshahara na 3% wanachangiwa na mwajiri wake.
Ikiwa hivyo na serikali ikaweka kiwango sawa cha kuchangia kwa kila mtu mzima mwenye nida kama ilivyo kwenye umeme,maji,nk inaweza kusaidia sana tu.
Inakkuwaje mtu aweze kumiliki simu ya bei kubwa/smart ailishe bandi na kukalia umbeya mitandaoni halafu ashindwe kulipia bima ya afya ya 30,000/= kwa mwezi?
Watu wote watibiwe bure bima ya afya ya nini?
Acha siasa, huduma ya vitambulisho vya NIDA inapatikana bure. Gharama za usafiri na kutoa photocopy ya nyaraka haziingii serikaliniNida siyo bure ni kwakuwa hujui unailipia vipi.
Hakuna kitu au huduma yoyote ile unayopewa mwananchi bure hapa Afrika lazima umeilipia wewe au mwingine kupitia kodi na malipo mbalimbali ya huduma unazopewa na serikali,jiongeze na uache ujinga wa kutofikiri nje ya boksi.
Mfanyabiashara analipa kodi akiuza bidhaa,mtumishi analipa kodi akilipwa mshahara,mkulima analipa kodi anapouza mazao au kununua vifaa vya kilimo na pembejeo,nk kwani kuna VAT ktk bila bidhaa inatozwa kwa MLAJI ambaye ni MWANANCHI.
JIONGEZE ACHA UJINGA!!