Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

Mabasi yameruhusiwa kuanzia safari saa 9 usiku mpaka saa 7 usiku, nikama yameruhusiwa tu
 
Sasa hivi mbona mabasi nyia nyingi yanasafiri usiku na malori pia tatizo lilikuwa barabara mbaya na nyembamba sasa hivi barabara nyingi zimeboreshwa

Mabasi yaruhusiwe tu kuanza safari muda wowote masaa 24 na kumaliza safari muda wowote masaa 24
Infact nimekuelesha kilichosababisha magari kupigwa marufuku kuwa haikuwa ujambazi. Kama wanadhani barabara zimekuwa nzuri hivyo risk imepungua basi ni jambo jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…