Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Majambazi yanawapangia watu mda wa kusafiri 🙌🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabasi yameruhusiwa kuanzia safari saa 9 usiku mpaka saa 7 usiku, nikama yameruhusiwa tuZamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote
Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti
Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi ambulia cha maana labda simu ambazo hata akienda uza walionunua waweza kudakwa kirahisi tu wakaisaidia polisi kuwapata waliowauzia
Labda kwa kuanzia mabasi yaanze kusindikizwa tu na Askari mfano wawili tu wenye silaha kwenye maeneo korofi tu na Askari walipwe posho zao na mwenye basi napendekeza kila Askari alipwe posho ya elfu 20 hivyo kwa Askari wawili elfu 40
Ianze kwa majaribio kwanza
Infact nimekuelesha kilichosababisha magari kupigwa marufuku kuwa haikuwa ujambazi. Kama wanadhani barabara zimekuwa nzuri hivyo risk imepungua basi ni jambo jema.Sasa hivi mbona mabasi nyia nyingi yanasafiri usiku na malori pia tatizo lilikuwa barabara mbaya na nyembamba sasa hivi barabara nyingi zimeboreshwa
Mabasi yaruhusiwe tu kuanza safari muda wowote masaa 24 na kumaliza safari muda wowote masaa 24