ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Haijawashinda ndio maana wanaweka wawekezaji Ili waendeshe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijawashinda ndio maana wanaweka wawekezaji Ili waendeshe.
Lipo pale Kange Bus terminal jengo zuri la uwekezajiMawaziri wote wanatumika kisiasa bila ya kujitambua , hawana wanachofanya kule Dodoma miradi inaenda kwa kasi hapo Arusha kutwa miradi inapelekwa.
Uwanja mkubwa bado kituoa cha madini ,jengo la posta ...Huku Tanga miaka karibia 25 hamna hata jengo la floor mbili limejengwa.
Hiyo ya Dar si ina muwekezaji!?Haijawashinda ndio maana wanaweka wawekezaji Ili waendeshe.
Bado hajaanza kazi,wako kukamilisha michakatoHiyo ya Dar si ina muwekezaji!?
Cool down.Mjinga wewe eti mji wa watu wa dini fulani unataka serikali ifanyeje? Mmekalia uvivu na uzembe tu mradi gani mkubwa umepelekwa Arusha?
Tanga haina mradi bomba la mafuta?
Bandari imeboreshwa, stand kubwa mpya.
Arusha haina stand ukumbuke, maendeleo yanafuata patterns. Kuna pulling factors ambazo Tanga mmekalia uvivu kukaa kwenye mikeka
Tulia mkuu, kila mkoa una sifa zake. Sijawahi kusikia Tanga ikidharauliwa kuhusu mapenzi, yatumieni mapenzi na ushirikina kujinufaisha kiuchumi. Kwenye economics tunasema comperative advanrage 🤣🤣🤣🤣🤣Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
Mkuu una uhakika watu wa Tanga wana udugu na wazanzibari?Tanga iende zanzibar angalau kule kwa ndugu zao watapata maendeleo sio huku bara.
Ndio kuliko baraMkuu una uhakika watu wa Tanga wana udugu na wazanzibari?
Napinga jiji la Tanga au jiji lingine lelote kutengwa...
Ukichunguza vizuri utagundua majiji ya Tanga, Mbeya na Mwanza kuna namna serikali inasuasua kuyaendeleza kwenye miundo mbinu...
Sijui kama wana sababu za msingi...
Mkuu caliph ulizaliwa miaka ya tisini primary ukasoma moshi na kurudi kwenu pwani. Mambo ya Tanga umesimuliwa tu na kama umeishi basi ulikuwa mdogo sana huna uelewa. Usidhani sikufahamu humu jamvinHabari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
Sasa ni Serikali au Tanga ndio mwenye shida?Habari ndugu zangu wa JF,

Mbona mimi sijatokea huko na ni mjanja na dayaspora wewe mdini na mkanda?Wajanja na diaspora wengi wanatokea Tanga
Tanga ni moja ya Mikoa inayopewa kipaombele na Serikali Kisiasa na kiuchumi Sasa mtoa mada unamlaumu nini?Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
😀 😀 😀KIjana wa papa tuliaMkuu caliph ulizaliwa miaka ya tisini primary ukasoma moshi na kurudi kwenu pwani. Mambo ya Tanga umesimuliwa tu na kama umeishi basi ulikuwa mdogo sana huna uelewa. Usidhani sikufahamu humu jamvin