Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

Hii mikoa ya watu wavivu ndio mizuri kwenda kutafuta maisha maana wajinga hawaoni Fursa,, Dar kila mtu macho kodo anatafuta vipenyo vya pesa. Mwakani nakuja Tanga.
Karibu Tanga,ukitaka kula lazima uliwe kidogo!!
 
To add; shops open at 8:00-9:00am and the staff have unlimited kahawa breaks.
By 12:30pm many close and start at 2:00pm. By 6:30pm all goes so quite that one wonders if this is indeed a City!
Siyo maduka yote bhana achaa uwongo, kuna maduka mengine yapo wazi 24/7 pale Tanga mjini,na mengine watu wakitoka kwenye ibada ya alfajiri yanakua wazi! Wwe tatizo lako unataka maduka aina ya supermarket,hayo ndiyo huwa yanachelewa kufungua kutokana na utaratibu wao wa ndani!!
 
Back
Top Bottom