Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
- Thread starter
- #41
Sio kweli , wakitaja majiji hawaliwekiTanga ni moja ya Mikoa inayopewa kipaombele na Serikali Kisiasa na kiuchumi Sasa mtoa mada unamlaumu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli , wakitaja majiji hawaliwekiTanga ni moja ya Mikoa inayopewa kipaombele na Serikali Kisiasa na kiuchumi Sasa mtoa mada unamlaumu nini?
bila mkoa kujiongoza kirasilimali lazima uzorote. tanga ilitakiwa na ushindani wa kibandari hapo na darHabari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
Tanga ni Jiji Kwa sababu za economic factors ila Kwa population ni imezidiwa na Geita,Kahama, Morogoro,Tabora, Sumbawanga nk ndio maana kwenye miradi inayolengw kupunguza msongamano wa Majiji hawawezi kuliweka.Sio kweli , wakitaja majiji hawaliweki
Tanga Ina uchumi mkubwa yaani kwenye kuchangia pesa TRA ni namba 4 sijui hela wanatoa wapi wakati Bandari haitoki hata Bilioni 38 , nadhani ni mpaka wa horohoro.bila mkoa kujiongoza kirasilimali lazima uzorote. tanga ilitakiwa na ushindani wa kibandari hapo na dar
Uko dunia gani eti bandari ya Tanga imekufa? bandari imekarabatiwa kwa bilioni nyingi na mapato yamepañda kwa zaidi ya asilimia 60,na halmashauri mapato yako around bil 16Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
Jengo jipya la foor mbili Tanga hakuna? Uko Tanga ipiMawaziri wote wanatumika kisiasa bila ya kujitambua , hawana wanachofanya kule Dodoma miradi inaenda kwa kasi hapo Arusha kutwa miradi inapelekwa.
Uwanja mkubwa bado kituoa cha madini ,jengo la posta ...Huku Tanga miaka karibia 25 hamna hata jengo la floor mbili limejengwa.
Huyo ni muongo aliyekubuhu,Kuna apartment pale barabara ya Tatu ya ghorofa nane imejengwa lini?Raskazone pia Kuna ghorofa sabaJengo jipya la foor mbili Tanga hakuna? Uko Tanga ipi
Ogopa sana kujadili hoja iliyoambatana na Udini ndani yake.
Unasema ulienda Tanga miaka ya 90 then ukaenda 2010
Wakati huo Rais wa Tanzania alikuwa Ali Hassan Mwinyi
Then ulipoenda tena Mwaka 2010 Rais alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete
Lakini kwenye maelezo yako unamlaumu Nyerere 🙌
Kwanini hao ambao walikuwa madarakani hawakuweza kuijenga hiyo Tanga?
Awamu hii pekee, Mkoa wa Tanga una Mawaziri zaidi ya 4, vyema hao washirikiane kuinfluence maendeleo ya Mkoa wao badala ya kuendelea kumlaumu Mzee Nyerere
Huyo ni muongo aliyekubuhu,Kuna apartment pale barabara ya Tatu ya ghorofa nane imejengwa lini?Raskazone pia Kuna ghorofa saba
Kibo hotel pale karibu na shule ya ekenforde imejengwa mwaka gani?
Sisi wakazi kiukweli tunashangaa ilikuwaje tukawa jiji..Wakazi wa Mjini Tanga wanasemaje?
Tanga ni moja ya Mikoa inayopewa kipaombele na Serikali Kisiasa na kiuchumi Sasa mtoa mada unamlaumu nini?
Yawezekana ni kweli kabisa, kwasababu TANGA hamna kitu pale, hapabadiliki ila kuna mahala umeongea UONGO kishabiki...Rais ambaye alipaswa kuiendeleza sana Tanga ni Hayati Mh. Ali Hassan Mwinyi miaka ya 1985 - 1995Mawaziri wote wanatumika kisiasa bila ya kujitambua , hawana wanachofanya kule Dodoma miradi inaenda kwa kasi hapo Arusha kutwa miradi inapelekwa.
Uwanja mkubwa bado kituoa cha madini ,jengo la posta ...Huku Tanga miaka karibia 25 hamna hata jengo la floor mbili limejengwa.
!Sisi wakazi kiukweli tunashangaa ilikuwaje tukawa jiji..
Jiji la tanga lina inadi ndogo sana ya wakazi. Hata msongamano wa magari hakuna. Siku za jpili na jmosi magari machache, sasa mwendo kasi wa nini?Ogopa sana kujadili hoja iliyoambatana na Udini ndani yake.
Unasema ulienda Tanga miaka ya 90 then ukaenda 2010
Wakati huo Rais wa Tanzania alikuwa Ali Hassan Mwinyi
Then ulipoenda tena Mwaka 2010 Rais alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete
Lakini kwenye maelezo yako unamlaumu Nyerere 🙌
Kwanini hao ambao walikuwa madarakani hawakuweza kuijenga hiyo Tanga?
Awamu hii pekee, Mkoa wa Tanga una Mawaziri zaidi ya 4, vyema hao washirikiane kuinfluence maendeleo ya Mkoa wao badala ya kuendelea kumlaumu Mzee Nyerere
Huko Karia atosha....tutakuja mkwakwani.Habari ndugu zangu wa JF,